Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo nilikuwa nahangaika kutatua kitu fulani ila kila wakati nikawa napata matokeo yale yale ambayo hayakuwa sahihi. Sasa kila ilipokuwa kwa bahati tu napata matokeo tofauti na ya awali hata kama...
1 Reactions
2 Replies
968 Views
Kutokana na kauchunguzi kalikofanyika inaonyesha kuna idadi kubwa ya akaunti za wafu fesibuku. Hi inaonyesha dhahiri ni namna gani watu tunakufa day after day. Amini usiamini Kuna wakati kutakuwa...
8 Reactions
59 Replies
8K Views
Nimeona kitatange wa jamii yetu wenye tabia za kuduku. Wao ni kuchi wa kupiga wanawake kwa mitazamo yao na kulastara wa tabia zao. sio lazima kuleibu awe sawa kitabia na mama yake na pia Sio...
0 Reactions
2 Replies
791 Views
Sijaelewa ni kwanini magari yanaruhusiwa kupark ndani ya uwanja wakati wa michezo ya ligi kuu. Wakati wa mchezo wa Yanga na Lipuli kule Iringa uwanja wa Samora niliona zaidi ya magari 11 likiwemo...
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Chama cha Wahasibu Tanzania (TAA) leo hii kimekutana na marais wa wanafunzi kutoka vyuo vikuu mbalimbali vya Tanzania pamoja na Jukwaa la Wafanyabiashara (JWT) na Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii picha imesambaa nahisi hadi China imeshafika. Imebidi nipige kimya kutaja ni wapi kituko hiki kimetokea Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
909 Views
Sijaelewa ni kwanini magari yanaruhusiwa kupark ndani ya uwanja wakati wa michezo ya ligi kuu. Wakati wa mchezo wa Yanga na Lipuli kule Iringa uwanja wa Samora niliona zaidi ya magari 11 likiwemo...
0 Reactions
0 Replies
502 Views
Ni mtangazaji gani anayekuvutia kwa kujitahidi kuzungumza kiswahili fasaha pamoja na kutamka vizuri maneno ya lugha ya kiswahili. Maana siku hizi watangazaji wengi wana matumizi mabovu ya...
4 Reactions
214 Replies
54K Views
Afisa usalama wa wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha,Issa Selfu Ng’itu amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya ya Arumeru na kuunganishwa kwenye kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Anaandika mwandishi wetu " Kwa kweli sina cha kusema kutokana kile ambacho kimetokea.miaka ya nyuma yote toka kipindi cha mkapa nmekuwa kila nikitia mimba anapatikana mtoto wa kike. Mpaka...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga limedai kuwakamata waganga wa Jadi 19 ambao wamekuwa wakipiga ramli chonganishi na kusababisha kuendelea kuwepo kwa matukio ya mauaji ya wananchi ambayo yamekuwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
tuwe makini Sana, siku hizi Wezi wanateketeza Mbwa, kwa kutukia SPRAY au sumu yeyote ile na kufanikiwa kiwadhibiti Mbwa ambao tunawaamini katika Ulinzi. Picha.. hizo hapo Sent using Jamii...
9 Reactions
275 Replies
38K Views
Mtu mmoja mkazi wa kijiji na kata ya Mkoe wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa Girubat Lungwa (34) amefariki dunia baada ya radi kubomoa ukuta wa nyumba yake kisha kuingia ndani na kusabisha kifo chake...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
*National Aids Council (NAC) issues warning to people who have their hair cut at Barber Shops:* People who have their hair cut at Saloons and Barber Shops are at high risk of contracting HIV...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Serikali imetoa nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 2018, kuchagua upya tahasusi (combination) wanazotaka kusoma ili wapangiwe shule ==== Serikali imewapa fursa nyingine Wanafunzi...
2 Reactions
9 Replies
8K Views
Hawa wahusika na hali ya hewa wanatuchanganya mara oh mvua imepeperushwa na kimbunga sasa leo wamekuja na hili sasa tuamuni lipi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, Itakuwa ni aibu kwa watu wa Dar kulalamika kwamba godoro, hela, tv, viti nk kwamba vimesombwa na maji ya mafuriko. Natumia jukwaa hili kuwaomba na kuwasihi hameni mabondeni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pamoja na Tanzania kuwa na idadi nzuri ya ma profesa, madaktari wabobezi, wasome wengi, watafiti, taasisi za utafiti kama vile twaweza, repoa, synovate n.k lakini usomi huo bado haujasaidia taifa...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Kituo cha kuzalisha na kusambaza umeme cha Mlandizi mkoani Pwani kinaungua kwa moto. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika na tayari kikosi cha zimamoto na uokozi kimeshafika kutoa msaada...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…