dumejm
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,180
- 861
Kutokana na kauchunguzi kalikofanyika inaonyesha kuna idadi kubwa ya akaunti za wafu fesibuku. Hi inaonyesha dhahiri ni namna gani watu tunakufa day after day.
Amini usiamini Kuna wakati kutakuwa na akaunti nyingi za wafu facebook kuliko walio hai.
Kwasababu Idadi ya akaunti za wafu kwenye Facebook inaongezeka kwa kasi sana, Mwaka 2012 ikiwa ni miaka 8 tangu facebook ianzishwe , yapata akaunti za Facebook milioni 30 zilikuwa ni za wafu, inakadiriwa kwamba ni zaidi ya watumiaji 8000 wa Facebook hufariki kila siku.
Kwa hali hii utakubaliana na mimi kwamba kuna muda kutakuwa na akaunti nyingi za wafu Facebook kuliko walio hai. Facebook inakua kwa kasi na inageuka makaburi ya kidigitali.
Chanzo: BBC