Ni lini Tanzania tutatuma chombo mwezini kama walivyofanya Israel?

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
1,346
Pamoja na Tanzania kuwa na idadi nzuri ya ma profesa, madaktari wabobezi, wasome wengi, watafiti, taasisi za utafiti kama vile twaweza, repoa, synovate n.k lakini usomi huo bado haujasaidia taifa katika masuala ya technology.

Sasa ni lini Tanzania tutatuma chombo mwezini kama walivyofanya Israel taifa teule la Mungu?

[http://img2]

Jerusalem.Israel imetuma chombo chake cha kwanza mwezini, lakini tofauti na mataifa mengine yaliyowahi kufanya hivyo, taifa hilo limeweka kitabu kitakatifu cha Biblia.

Chombo hicho kilichorushwa Ijumaa, kinaitwa Beresheet na kimebebwa na roketi ya Marekani inayoitwa Falcon 9 ya kampuni binafsi ya Marekani ya SpaceX. Falcon (itaibeba Beresheet hadi katika uzingo wa dunia ambako itakiachia kianze safari kwa kutumia injini yake.

Chombo hicho chenye uzito wa kilo 585 kitasafiri kwa wiki saba kabla ya kutua mwezini Aprili 11.

Wakati kikiondoka, Waziri Mkuu Benjamin Netanyau akiwa pamoja na wahandisi walikuwa wakifuatilia chombo hicho kutokea katika kituo cha kuongozea cha Israel Aerospace Industries (IAI) kilichopo Israel.

Lakini tofauti na safari nyingine za kwenda mwezini, chombo hicho kimebeba boksi maalumu la kihistoria lililo na Biblia, michoro ya watoto, kumbukumbu za manusura wa utawala wa kinazi, nyimbo za Israel na bendera ya nchi hiyo ya rangi ya bluu na nyeupe.

Israel ina uhusiano tofauti na mwezi, kulingana na maandiko ya kitabu cha Biblia.

Katika Zaburi 81 kuanzia mstari wa kwanza, Biblia imeandika “pigeni tarumbeta kutangaza mwezi mwandamo, na pia mwezi mpevu, wakati wa sikukuu yetu. Hiyo ndiyo kanuni katika Israeli; hilo ndilo agizo la Mungu wa Yakobo”.

Pia baadhi ya sherehe za Kiyahudi huendana na kupatwa kwa mwezi au kupatwa kwa jua.

Katika moja ya hafla za kabla ya safari hiyo, Netanyau aliuliza kama wamekumbuka kuweka Biblia kwenye chombo hicho na baada ya maswali kadhaa ndipo alipoibuka mmoja wa wataalamu walioshughulikia safari hiyo na kumjibu kuwa waliiweka kwenye flash pamoja na kumbukumbu nyingine za taifa hilo.

Safari ya Beresheet, ambayo inamaanisha Mwanzo (kitabu cha kwanza katika Biblia) ni kwanza ya sekta binafsi ni sehemu ya jitihada mpya za kuuchunguza mwezi, ambao wakati mwingine huchukuliwa kama sayari ya nane. Safari hiyo imekuja miaka 50 tangu Marekani itume binadamu wa kwanza mwezini.

“Hii ni kuandikwa kwa historia - na inaonekana moja kwa moja! Israel imepania kufika mwezini na unaalikwa kuangalia (safari hii),” ulisema ujumbe wa Twitter kutoka kituo cha SpaceIL, taasisi isiyo ya kibiashara ambayo ilibuni chombo hicho.

Safari hiyo pia imetiwa nguvu na mfanyabiashara na msamaria mwema, Morris Kahn, ambaye alitoa fedha za kugharamia kuundwa kwa chomo hicho.

Wafanyabiashara pia walichangia fedha za kufanikisha mpango huo, ambao awali ulikisiwa kuwa ungegharimu dola milioni 10 lakini ukagharimu dola milioni 100 za Kimarekani (sawa na zaidi ya Sh200 bilioni).

Hadi sasa ni Russia, Marekani na China ambazo zimewahi kutuma chombo mwezini ambako ni safari ya kilomita 384,000 na chombo hicho kufanikiwa kutua.

Chombo cha China kinachoitwa Chang’e-4 kilifanya safari yake ya kwanza mwezini Januari 3.

Wamarekani ndio pekee waliowahi kutuma binadamu ambao walishuka na kutembea, lakini hawajaenda tena tangu mwaka 1972.

Kwa Waisraeli kutua mwezini pekee ni lengo kubwa, lakini chombo chao pia kimebeba kifaa maalumu kwa ajili ya kupima ardhi ya mwezi ambayo inasadikiwa kuwa na nguvu ya sumaku na hivyo kusaidia kuielewa vizuri.

Wakati Israel ikianza utafiti huo, Wamarekani wanataka kurudi tena mwezini kwa nguvu zaidi, ukiwa ni mpango wa taasisi ya Nasa kama ilivyoagizwa na Rais Donald Trump mwaka 2017.

“Safari hii, tutakapoenda mwezini, kwa kweli tutakwenda kuishi huko,” alisema kiongozi wa Nasa, Jim Bridenstine wiki iliyopita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akina mama mbona Kila mwezi wanaenda mwezini
 
Unashangaa Israel mbona Jirani hapo kwa Mr Kagame wanajiandaa kurusha..kalagabaho..
 
Unajua Dini ikizidi unakua kama 'kicha' asie jitambua.......wapi na wapi Technologia na Bibulia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila siku usiku mnatuma na kupaa mwezini. Mnataka nn Wa Tanzania

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hata spoku ya baiskeli tunashindwa kutengeneza halafu unaota kwenda mwezini. Mtu akitengeneza helkopta mnasema hamna anga la kutestia kama inafanya kazi. Hii nchi hii
 
Back
Top Bottom