Wakulonga
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 762
- 771
Hawa wahusika na hali ya hewa wanatuchanganya mara oh mvua imepeperushwa na kimbunga sasa leo wamekuja na hili sasa tuamuni lipi http://www.mpekuzihuru.com/2019/03/mamlaka-ya-hali-ya-hewa-tanzania-tma.html?m=1