Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari JF. Hii habari inatembea mtandaoni kwa kasi ikidai mtajwa hapo juu amefikishwa mahakamani Arusha kwa makosa ya uhujumu. Nasikia kasomewa makosa 15 ya uhujumu kwa mijibu ya habari fupi...
1 Reactions
48 Replies
10K Views
Ni muda mrefu nimekua nahitaji kwenda Botswana au Namibia nikatafute maisha, ila kikwazo nackia jamaa wanataka uwe na mtu ambaye utafikia kwake. Sasa nitafanyaje ili nifike gaborone? Nilipomaliza...
3 Reactions
21 Replies
6K Views
Napenda niseme kabisaa hapa mwanzo kuwa miye siyo mwanataaluma wa uandishi, ila niliposoma tu kichwa cha habari cha ifuatayo nikajisikia vibaya kinamna fulani hivi. Naomba uisome kwanza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je wewe ni muumini wa mazoezi katika kupunguza uzito au unene uliopitiliza?(mimi sio), basi unashauriwa kuachana na huo utaratibu maana unakula muda wako bure, unashauriwa kuangalia chakula chako...
13 Reactions
67 Replies
9K Views
Umakini unahitajika namna ya kuchagua aina ya muito wa simu. Hata ukizingatia mazingira unayofanyia kazi ; hasahasa maeneo ya porini au mashambani. Mm naupendaga sana muito wa " chura ". Wakati...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
wakuu mimi nikitaka kulewa nataka watu wote tulewe nao sas kama uko bar mida hii wewe agiza mm nakuja kulipa
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zakary Kakobe ameeleza kwanini Rais John Magufuli anapaswa kupongezwa kwa ununuzi wa ndege mpya ingawa pesa zinazotumika ni kodi walizolipa...
6 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari wana JF! Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada, Naomba kuchukua nafasi hii kumpongeza raisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kwa maamuzi yake ya kununua korosho. Najua wengi...
7 Reactions
41 Replies
4K Views
Inasikitisha sana! Mpaka sasa wengi tumechanganyikiwa sana, hatujui kesho ya familia hii itakuwaje. Na kwamba; watu hawa wasio na utu, wakishamailiza kuua nyumba nzima, Je kiu yao ya kumwaga damu...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
MATUMIZI ya teknolojia ya kadi kabla ya kupata huduma ya maji wilayani Karatu mkoani Manyara imesaidia kuongeza ukusanyaji wa mapato kwa asilimia 187 na kupunguza upotevu wa maji. Akiwasilisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Duh jamani nilikuwa napitia you tube nikakuta na habari za kifo cha afande Mbushi, nini kilimsibu jamani? Jamaa alikuwa ni mtu wa watu sana na hana majivuno wala makuu na watu!!! Link yenyewe hii...
0 Reactions
42 Replies
15K Views
Hili jambo limekuwa linaniumiza sana akili, nimekuwa nikisikia maneno kwamba Mwenyezi Mungu anaweza kumsamehe mwanadamu dhambi yeyote hata kama dhambi ni kubwa kiasi gani endapo tu huyo mwanadamu...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Habari wanaJukwaa... Mimi Kuna kitu kinanitatiza hapa, Wiki mbili zilizopita nilienda Bank Kurenew kadi yangu ya Bank (VISA TEMBO CARD ) Baada ya Kujaza Form zao nikaambiwa nitatumiwa SMS ndani...
1 Reactions
51 Replies
14K Views
Hii picha imesambaa nahisi hadi China imeshafika. Imebidi nipige kimya kutaja ni wapi kituko hiki kimetokea Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Baadhi ya wafanyabiashara hasa wa tangawizi wamekuwa wakiuza viazi vinavyofanana na tangawizi na kuwauzia wateja wao. Viazi hivyo havina harufu yoyote wala ukali wa tangawizi. TFDA fuatilieni...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Tuna matumizi tofauti ya Facebook, leo ngoja nizungumze kwa uchache. • Kuna wale watu waliosikia Facebook kuna mademu wakali, ukiwa huko, utawapata wengi, nao wakajiunga, hawakuja kwa ajili ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mvua kubwa iliyoambatana na upepo imesababisha adha kwa watumiaji wa Barabara kadhaa katika mji wa Moshi baada ya miti kukatika na kufunga barabara. Maeneo kadhaa ya mji wa Moshi na kujionea...
4 Reactions
25 Replies
7K Views
Aisee hii tabia inakera, utakuta mtu anaongea kwa booonge la sauti ka mtoa amri wa jeshi! Jamani hizi simu zipo programmed n such a way kuwa ukiongea kwa sauti ya chini utasikika. Kama mic yako...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Serikali inatakiwa kutazama tozo za mitandao ya simu kwa jicho la pekee, ni kubwa sana na hata haieleweki wanatumia kigezo gani kupanga tozo wanazotutoza wateja wao. Juzi nimemtumia mtu kiasi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom