Mtangazaji anayevutia kwa lugha ya Kiswahili

KUNA MTU ANAITWA MOHAMED KHEREFU WA DUTCH WELLE German. DAH MIMI HUSISIMKA MWILI NIKIMSIKILIZA ANAVONYOOSHA KISWAHILI
 
Ni mtangazaji gani anayekuvutia kwa kujitahidi kuzungumza kiswahili fasaha pamoja na kutamka vizuri maneno ya lugha ya kiswahili.

Maana siku hizi watangazaji wengi wana matumizi mabovu ya kiswahili sambamba na kuchanganya lugha nyingi kwa wakati mmoja.

Hawa nilikua nawaskia tangu enzi za radio tanzania Suwed Mwinyi na Shabani Kisu sijui siku hizi wako wapi?
 
Back
Top Bottom