Kwani Mei Mosi ni sharti Rais ndiye awe mgeni rasmi?

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Ndugu naomba kuuliza tu kuwa suala la Rais kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za wafanyakazi ni la lazima?
Waziri anayedeal na Utumishi wa umma mimi naona anatosha na si kumsumbua Rais, mnajua Rais kuhudhuria sherehe hizi ni gharama sana.
 
Wafanyakazi wa umma wote mwajiri wao mkuu ni Rais, gharama gani kubwa Rais uzisemazo wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni fursa pekee kwa mwajiri mkuu kusikiliza kero za waajiriwa wake na kuzitolea majibu. Alialikwa tofauti na yeye, ataishia kusema 'Changamoto na Kero zenu nitazifikisha mahala husika' Hivyo kuepusha usumbufu na mlolongo wa kufikisha kero kwa mwajiri mkuu, The Top Boss anaalikwa na majibu yanapatikana siku hiyo hiyo
Ndugu naomba kuuliza tu kuwa suala la Rais kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za wafanyakazi ni la lazima?
Waziri anayedeal na Utumishi wa umma mimi naona anatosha na si kumsumbua Rais, mnajua Rais kuhudhuria sherehe hizi ni gharama sana.
 
vyama vya wafanyakazi tanzania havipohiru.vipo kwa ajili ya kutimiza matakwa ya kimataifa ILO nk
anaenda kufanya siasa tu. tangu lini mwajir na muajiriwa wakawa na urafiki? mtu hajakupandisha cheo wala mshahara kwa miaka 4 unamwalika aje kujichekesha chekesha inahusu
WATUMISHI WA UMMA WA TANZANIA NI KIKUNDI CHA WATU WASIOJITAMBUA
 
Ni fursa pekee kwa mwajiri mkuu kusikiliza kero za waajiriwa wake na kuzitolea majibu. Alialikwa tofauti na yeye, ataishia kusema 'Changamoto na Kero zenu nitazifikisha mahala husika' Hivyo kuepusha usumbufu na mlolongo wa kufikisha kero kwa mwajiri mkuu, The Top Boss anaalikwa na majibu yanapatikana siku hiyo hiyo
ivi kuna kero ambayo raisi haijui inayowahusu watumishi? kwani huyu si alikuaga mtumishi huyu? tena akianzia mbwinde huko chini kabisa? hajui nn? tangu angie amehidhuria mara ngapi ? ametatua kero ngapi ? anzia na ile ya kutopandisha mishahara na madaraja!
HUYU NDIYO RAISI ANAYEONGOZA KUNYANYASA NA KUDHARAU WATUMISHI
Anzia kuwaweka ndani na kuwasingizia uzembe na wizi plus kuwafukuza hovyo nk
hovyo
 
Ushauri wako, aalikwe nani ili upate matumaini?
Issue sio gharama, Rais amekuwa hatoi matumaini yoyote kwa wafanyakazi, kuna haja gani kuendelea kualika mtu ambaye badala ya kuwapa matumaini ndio kwanza anawatukana?
 
Sio lazima Mgeni Rasmi Kuwa Rais

1995 Mgeni Rasmi alikuwa Mzee Nyerere Na ilifanyika Mkoani Mbeya

2010 TUCTA walikataa Rais asiwe Mgeni Rasmi nae akawatakia Kila la Kheir Na hapakuwa Na Tatizo
 
Yawezekana kuna maelekezo anawapa wasaidizi wake alaf hawayafanyii kazi. Kukumbushia sio tatizo. Heri kukumbushia kuliko kulalamika kimya kimya
ivi kuna kero ambayo raisi haijui inayowahusu watumishi? kwani huyu si alikuaga mtumishi huyu? tena akianzia mbwinde huko chini kabisa? hajui nn? tangu angie amehidhuria mara ngapi ? ametatua kero ngapi ? anzia na ile ya kutopandisha mishahara na madaraja!
HUYU NDIYO RAISI ANAYEONGOZA KUNYANYASA NA KUDHARAU WATUMISHI
Anzia kuwaweka ndani na kuwasingizia uzembe na wizi plus kuwafukuza hovyo nk
hovyo
 
Ni fursa pekee kwa mwajiri mkuu kusikiliza kero za waajiriwa wake na kuzitolea majibu. Alialikwa tofauti na yeye, ataishia kusema 'Changamoto na Kero zenu nitazifikisha mahala husika' Hivyo kuepusha usumbufu na mlolongo wa kufikisha kero kwa mwajiri mkuu, The Top Boss anaalikwa na majibu yanapatikana siku hiyo hiyo

Toka awe Rais kaalikwa ngapi?

Katolea majibu kero zipi?
 
Ushauri wako, aalikwe nani ili upate matumaini?
Yeye kama hana issue ya toauti ya kuwaambia waanyakazi afanye delegation hata kwa makamu wa Rais, sio kung'ang'ania kuhudhuria ili apate platform ya kuchamba watu.
 
Back
Top Bottom