Tahadhali kwa wale wanotumia barabara ya Morogoro (Morogoro road) chonde chonde usijiroge kupita kwenye mwendokasi kukwepa foleni

cdc

JF-Expert Member
Nov 29, 2015
445
419
Habari wadau. Pamoja na changamoto nyingi za foleni tunazokutana nazo (especially kwa wakazi wa Dsm) ambazo kwa namna moja au nyingine zinachangia kukwamisha au kupunguza ufanisi wa kazi zetu, lakini nimeona tukumbushane tu kuhusu matumizi ya barabara especially kwa wale tunaopenda kuingia kwenye barabara ya mwendokasi(BRT) kwanzia kipande cha ubungo maji hadi korogwe, mara kadhaa(wiki hii) nimeona watu wamekutana na mshike mshike baada ya kuwekwa kati na askali ambao wanakaa kwenye angle ambayo ukiingia kwenye mwendokasi lazima wakudake. Kutake risk ni jambo zuri ila sometimes costs zake ni kubwa. Nashauri kama haikulazimu kuwahi unakoenda vumilia kidogo tu utafika uendako. Pia kwa waliokutana na hili sekeseke la kukamatwa nnaweza kushare experience zenu tupate mawili matatu kutoka kwenu

Kiukweli jamaa wamechachamaa so take care.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yuko polisi mmoja wa traffic alijitia kumkamata msure mmoja. Msure akamwambia traffic asogee karibu na mlango wa gari la msure. Kumbe msure alitaka asome ile namba ya traffic vzr. Baada ya kusoma namba ya traffic. Msure akapiga simu kwa askari wa cheo cha juu sana kisha akampa traffic aongeee na boss wake.
Yule boss alimuuliza yule traffic. Namba yako ni fulani? Na jina lako ni fulani?
Traffic akaitika NDIYO MKUU.
Mkuu akamwambia traffic kuanzia jana wewe umehamishiwa mkoa wa Katavi. Sasa sielewi kwanini unakamata magari Dar wakati kituo chako cha kazi ni Katavi. Njoo ofisini kuchukua barua yako ya uhamisho.
 
Itakua enzi za mkwere
 
Chai ya enzi tupo Msoga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimara this time
IMG_20190401_085540.jpeg

Usile Mbegu.
 
huu upuuzi ulishapitwa na wakati, labda kama umesikia sehemu so ukaona ukumbushie.

Uweke sheria kwako alafu mwanao avunje kisa baba upo utalinda dhambi hiyo 😡 !
Yuko polisi mmoja wa traffic alijitia kumkamata msure mmoja. Msure akamwambia traffic asogee karibu na mlango wa gari la msure. Kumbe msure alitaka asome ile namba ya traffic vzr. Baada ya kusoma namba ya traffic. Msure akapiga simu kwa askari wa cheo cha juu sana kisha akampa traffic aongeee na boss wake.
Yule boss alimuuliza yule traffic. Namba yako ni fulani? Na jina lako ni fulani?
Traffic akaitika NDIYO MKUU.
Mkuu akamwambia traffic kuanzia jana wewe umehamishiwa mkoa wa Katavi. Sasa sielewi kwanini unakamata magari Dar wakati kituo chako cha kazi ni Katavi. Njoo ofisini kuchukua barua yako ya uhamisho.
 
Kimara this time View attachment 1059858

Usile Mbegu.
kiufupi hawa jamaa wameshindwa kuuendesha huu mradi.. kwa nini wasinipe mimi niusimamie?
hivi hawa jamaa walipatala hizi kazi za kuendesha huu mradi?
na kwa nini Magufuli na makonda piere wapo kimyya wanangata na kupuliza?
kwanza failure ya kwanza iliikuwa ni kuwatoa wazawa maxmalipo.. waliwatoa ili wizi ufanyike.. wanajua kila kitu ..shit
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom