Clouds TV Imewatendea Haki Watazamaji Wake?

Joined
Jul 8, 2013
Posts
54
Reaction score
76
Kituo Cha Clouds TV Leo Kimeshindwa Kurusha Mubashara Mahojiano Na Mwanachama Mpya Wa ACT Wazalendo, Seif Sharif Hamad Kwa Walichodai Ni Sababu Zilizo Nje Ya Uwezo Wao.

Mdau Wa JF Unafikiri Sababu Hiyo Ina Mashiko Na Je Wamewatendea Haki Watazamaji Wao?
 
Ni sababu tosha kabisa mbona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchawi hana rafiki.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kituo Cha Clouds TV Leo Kimeshindwa Kurusha Mubashara Mahojiano Na Mwanachama Mpya Wa ACT Wazalendo, Seif Sharif Hamad Kwa Walichodai Ni Sababu Zilizo Nje Ya Uwezo Wao.

Mdau Wa JF Unafikiri Sababu Hiyo Ina Mashiko Na Je Wamewatendea Haki Watazamaji Wao?
MWENYE AKILI HAWEZI WALAUMU CLOUDZ MEDIA....INAELEWEKA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho ni chombo binafsi cha habari,hivi mwenye mali unaweza mpangia kitu? Tuheshimu taarifa walioitoa ya udhuru kwani ingekua ya umma tungekua na hoja kulikoni tena lakini ndiyo hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kituo Cha Clouds TV Leo Kimeshindwa Kurusha Mubashara Mahojiano Na Mwanachama Mpya Wa ACT Wazalendo, Seif Sharif Hamad Kwa Walichodai Ni Sababu Zilizo Nje Ya Uwezo Wao.

Mdau Wa JF Unafikiri Sababu Hiyo Ina Mashiko Na Je Wamewatendea Haki Watazamaji Wao?
Ukifunga ndoa na shetani huwezi kupata nguvu ya kuhubiri habari njema za YESU KRISTU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jambo La kawaida sana Kwa vyombo Vya habari hasa vinavyorusha matangazo ya moja Kwa moja..kutengua mahojiano Na MTU Fulani kutokana Na sababu hii au ile! Ulipaswa kuhoji kodi yako pale TBC inatendewa haki?!
 
Unadhani wao hawaogopi kula risasi 38.
Uhuru wa media ni kitendawili siku hizi.
 
Uko sahihi bro,yaani watu wanawalaumu huku taarifa imetolewa? Chombo chake ajabu mnataka kumpangia hatare sana.

Back
Top Bottom