Tanga: Polisi waua majambazi watano

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,495
9,275

Watu watano wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wameuawa baada ya kutokea kwa majibizano ya risasi kati yao na Polisi wilayani Korogwe mkoani Tanga.

Tukio hilo limetokea wakati watu hao wakitaka kufanya jaribio la uporaji kwenye mashamba ya Mkonge ya Toronto.

Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Tanga, – Edward Bukombe amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa limetokea katika eneo la darajani kwenye mji mdogo wa Mombo.

Katika tukio hilo Polisi pia wamekamata silaha mbalimbali ikiwa ni pamoja na bunduki aina Shortgun na bastola iliyotengenezwa kienyeji.

Miili ya watu hao imehifadhiwa katika hospitali ya wilaya ya Korogwe, -Magunga .
 
Aiseeeee!!! Majambazi mwaka huu wanaipatapata.

Hope na wale majambazi wa Lumumba watafyekelewa mbaliii

Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk
 
Watu watano wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wameuawa baada ya kutokea kwa majibizano ya risasi kati yao na Polisi wilayani Korogwe mkoani Tanga.

Tukio hilo limetokea wakati watu hao wakitaka kufanya jaribio la uporaji kwenye mashamba ya Mkonge ya Toronto.

Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Tanga, – Edward Bukombe amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa limetokea katika eneo la darajani kwenye mji mdogo wa Mombo.

Katika tukio hilo Polisi pia wamekamata silaha mbalimbali ikiwa ni pamoja na bunduki aina Shortgun na bastola iliyotengenezwa kienyeji.

Miili ya watu hao imehifadhiwa katika hospitali ya wilaya ya Korogwe, -Magunga .
Ukidhaniwa kuwa ni jambazi, hapo ni mwendo wa risasi ya kichwa au moyo.....Ndugu zangu tuwe makini sana, tusije kudhaniwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu watano wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wameuawa baada ya kutokea kwa majibizano ya risasi kati yao na Polisi wilayani Korogwe mkoani Tanga.

Tukio hilo limetokea wakati watu hao wakitaka kufanya jaribio la uporaji kwenye mashamba ya Mkonge ya Toronto.

Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Tanga, – Edward Bukombe amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa limetokea katika eneo la darajani kwenye mji mdogo wa Mombo.

Katika tukio hilo Polisi pia wamekamata silaha mbalimbali ikiwa ni pamoja na bunduki aina Shortgun na bastola iliyotengenezwa kienyeji.

Miili ya watu hao imehifadhiwa katika hospitali ya wilaya ya Korogwe, -Magunga .
Hongera jeshi letu kwa kazi nzuri sana,
Dawa ya moto ni moto.......majambazi sio watu wa kuwachelewesha.......ukichelewa utalia wewe.
Ujambazi haulipi, ndugu zangu acheni uhalifu utakatiza uhai wako fasta.... tufanye kazi halali tuwe huru na salama.
Maisha bila kufanya uhalifu inawezekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana jeshi letu kwa Kazi nzuri ujumbe utakua umefika kwa mijambazi yote
Ila hao Majambazi nao sio hivi kwenye mkonge Kuna pesa kweli zitoke wapi mule shambani
 
Kuna wengine ni raia wema tu lakini ndio hivyo. Ukihisiwa tu, tayari. Hii mpaka itokee kwa mtu unayemjua vizuri ndio utaamini kuwa kuna watu wanauawa bila kosa lolote (Usisahau Zombe na wachimba madini wa Morogoro).

Watu watano wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wameuawa baada ya kutokea kwa majibizano ya risasi kati yao na Polisi wilayani Korogwe mkoani Tanga.

Tukio hilo limetokea wakati watu hao wakitaka kufanya jaribio la uporaji kwenye mashamba ya Mkonge ya Toronto.

Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Tanga, – Edward Bukombe amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa limetokea katika eneo la darajani kwenye mji mdogo wa Mombo.

Katika tukio hilo Polisi pia wamekamata silaha mbalimbali ikiwa ni pamoja na bunduki aina Shortgun na bastola iliyotengenezwa kienyeji.

Miili ya watu hao imehifadhiwa katika hospitali ya wilaya ya Korogwe, -Magunga .
 
Sasa hakuna hata askari aliyechubuka pua katika hayo majibizano

right, hakuna askari hata mmoja aliyechubuka pua

wanajua Watanzania tuna IQ za Pierre Liquid, hawana haja ya kuhangaika saaana kutafuta hadithi zinazosomeka vizuri
 
Hivi ww una akili au unafikiri kwa matako?
Kuna raia mwema anayeweza afanye majibizano ya risasi na polisi?
Wewe ndiye unafikiri kwa matako, Unajuaje kama kweli kulikuwa na majibizano na risasi? Uongo wa kiwango cha juu umesemwa na mapolis hawa mara nyingi tu! Si ajabu hao ni wafuasi wa upinzani ndio wameuawa! Story za Mo unazikumbuka? Maelezo ya miili ya Coco beach unayakumbuka? Na hili wanaweza kuwa wanadanganya maana wamekuwa mahiri wa ku cook stories za uhalifu. Mimi siwezi amini maneno yao untill proved by an independent entity! Acha kufikiri kwa kutumia njia ya haja kubwa!
 
WANA JF NAOMBENI MNISAIDIE KUNA KITU NIMESHIDWA KUKIELEWA HAPA

IVI TUNAPOSEMA WATU WANAODHANIWA

HIII SENTESI INA MAANA GANI KATIKA KUTAFSIRI

Watu watano wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wameuawa baada ya kutokea kwa majibizano ya risasi kati yao na Polisi wilayani Korogwe mkoani Tanga.

Tukio hilo limetokea wakati watu hao wakitaka kufanya jaribio la uporaji kwenye mashamba ya Mkonge ya Toronto.

Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Tanga, – Edward Bukombe amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa limetokea katika eneo la darajani kwenye mji mdogo wa Mombo.

Katika tukio hilo Polisi pia wamekamata silaha mbalimbali ikiwa ni pamoja na bunduki aina Shortgun na bastola iliyotengenezwa kienyeji.

Miili ya watu hao imehifadhiwa katika hospitali ya wilaya ya Korogwe, -Magunga .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mnawazidi ki hivyo kwa nini msiwadhibiti mkawafikisha katika vyombo vya sheria hamuoni aibu kutumia nguvu kubwa kiasi hicho wakati mnapambana na wenye magobore??
Usiwe ndaza wewe.
Polisi wana superior arms, risasi za kutosha , wako wengi na wamekua trained. Huwezi linganisha gobole na SMG.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom