TBC leo mmeitendea haki habari ya Maalim Seif

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Naona leo si haba!

Taarifa za Maalim huku Bara na huko Visiwani hakika leo mumezitendea haki.Matukio karibu yote ama ya Seif alivyozungumza na vyombo vya habari na huko Zanzibar pia namna wafuasi wa Seif walivyo amua kumfuata Kiongozi wao huko ACT.

Hakika leo mumechangamka!
 
Prof Lipumba ataachwa solemba muda si mrefu........ccm wanajua maalimu Seif ni muhimu kuliko Lipumba!
 
Wanaelewa kwamba wanazidi kuifanya kazi yao kuwa ngumu zaidi kwa visiwani? ACT inaweza kugeuka tushio kuliko wanavyotarajia.
 
Katika move mbaya CCM walizowahi kufanya ni hii ya kuruhusu CUF kuachiwa Lipumba maana watu sasa wamepata chama kingine imara. Bora wangewaacha na kesi kesi zao mpaka dakika za mwisho. Sasa ni dhahiri 2020 CCM wamejipalia makaa mapema
Hili ni mzuri sana sasa prof na ccm sisi na wazalendo haaaa huko chumbe act bara cdm.... ccm haijui ipambane na nani
 
Naona leo si haba!

Taarifa za Maalim huku Bara na huko Visiwani hakika leo mumezitendea haki.Matukio karibu yote ama ya Seif alivyozungumza na vyombo vya habari na huko Zanzibar pia namna wafuasi wa Seif walivyo amua kumfuata Kiongozi wao huko ACT.

Hakika leo mumechangamka!
HAdi amemuita JK
 
Chenga ya mwili ccm walishajiandaa kushangilia ila seifu kawahi, sasa hivi wako kwenye vikao wanalaumiana, eti wanasema sasa watawachonganisha CDM na ACT, watashindwa tu,
 
Naona leo si haba!

Taarifa za Maalim huku Bara na huko Visiwani hakika leo mumezitendea haki.Matukio karibu yote ama ya Seif alivyozungumza na vyombo vya habari na huko Zanzibar pia namna wafuasi wa Seif walivyo amua kumfuata Kiongozi wao huko ACT.

Hakika leo mumechangamka!

vita ya panzi furahaa kwa kunguru kwa nini wasi fanye hivo wakijua wameimaliza upinzani kila mmoja mmoja
 
Katika move mbaya CCM walizowahi kufanya ni hii ya kuruhusu CUF kuachiwa Lipumba maana watu sasa wamepata chama kingine imara. Bora wangewaacha na kesi kesi zao mpaka dakika za mwisho. Sasa ni dhahiri 2020 CCM wamejipalia makaa mapema
Kwa ccm mtu wanayemuogopa miaka yote ni Maalim Seif... Lipumba kwao ni sawa na Cheyo au Mrema hana madhara. Huko lumumba leo ni chereko maana mission accomplished.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona leo si haba!

Taarifa za Maalim huku Bara na huko Visiwani hakika leo mumezitendea haki.Matukio karibu yote ama ya Seif alivyozungumza na vyombo vya habari na huko Zanzibar pia namna wafuasi wa Seif walivyo amua kumfuata Kiongozi wao huko ACT.

Hakika leo mumechangamka!
Mataga Leo badala ya kushangilia mmenuna vipi kulikoni??
 
Patamu ni kwa wenye vyeo vya Ubunge Upande wa maalimu, masikini!

Wakajisalimishe kwa kumpigia magoti Lipumba ili kunusuru vyeo vyao, ama wamfuate Maalimu ACT na kisha wachinjiwe baharini!

Hakuna hata mmoja aliyetoa tamko lihusulo mustakabali wake.
Wote ni kimyaaaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom