Polisi, Kwanini "LOSS REPORT " Huwa mnatoa Mwisho Saa 8?

Kwanza nianze kusema Jeshi la Polisi ni muhimu sana kwa maisha yetu sisi raia hapa Nchini, kuna mifano michache tuu ambayo ukiipitia utaona ni kweli kuna umuhimu wa Jeshi la Polisi
(i) Umempa Mtu kitu halafu Kapoteza au amekudhulumu unakimbilia polisi wankusaidia
(ii) Binti yako kapewa Ujauzito, unakimbilia Polisi unapata Msaada

Mbali na Hayo Polisi mna Mapungufu kwenye Jambo moja na mnapaswa mjitafakali na mlirekebishe, hasa kwa Wakati huu wa Amri Jeshi Mkuu Dkt John Pombe Joseph Magufuli ambapo anatka "speed" ya "Dolge Demon"

Kwanza Niulize Tuu Kwanini "LOSS REPORT " Huwa mnatoa Mwisho Saa 8 ?

Ina maana Mhasibu wa Kituo Kufanya kazi kwake Mwisho Saa 8 ?

Je, mnazani Wananchi Kupata Huduma Zenu Mwisho wa Saa 8 wao "Wanafurahia" ?

Mbona Huduma zingine Mwisho Siyo Saa 8?

HITIMISHO:
Kuna Haja ya Jeshi Kuliangalia Hili Ili Kusudi Kusiwe Na Ucheleweshwaji Wa Maendeleo Yao kwasababu Hili Jambo Ni KERO!

Labda Nikupe Mfano Mmoja Wa Maana
~Assume mm ni mfanyakazi Na Muda wa Kazi Ni Saa 7:00 am hadi Saa 04:00 pm Na nina shida ya Loss report Nitafanyaje kwasababu Hata Siku Ya Mapumziko Jumamosi Vituo Vya Polisi Hamtoi Loss report!! Just imagine!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ofcoz hili ni tatizo.

shida ni kuanzisha vitu bila maandalizi leo mifuko ya plastic imepigwa marufuku. subiria kitakachotokea
 
Back
Top Bottom