Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu habari za j2, nimekuwa nikitafakari juu ya mchango wa kisomo walichonacho maprofesa wetu hapa nchini kwenye maendeleo ya taifa lakini sio mchango wao kabisa. Labda kama kuna yeyote anaweza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
54 Replies
10K Views
Unaamka asubuhi unataka kunyoosha nguo uende kibaruani umeme unakatika unavaa nguo iliyojikunja na hujaipenda kwa siku hiyo. Unatoka na kigari chako unakutana na traffic barabarani anakupiga...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za mchana huu wana jamvi, mida hii kama dakika 20 hv zilizopita nikiwanatokea maeneo ya mlimani city katika public transport, daladala imesimama pale mwenge kama dakika 10 hv. So Kuna mdada...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Ndugu, jamaa au rafiki ameondoka nyumbani kwenda kujitaftia ridhiki mbahati mbaya amepata la kumpata labda ajali, wakatokea wasamaria wema wakampeleka hosipitali, nyumbani haonekani ametafutwa...
0 Reactions
3 Replies
849 Views
Nilijaribu kuomba kuona uongozi sikufanikiwa Hii nnhospt karibu na sisi lakni nahisi inapoelekea imeanza kuzoe wagonjwa Pale maabara kuna shida kubwa na leo imejirudia pamoja na kuona baadhi n...
3 Reactions
22 Replies
7K Views
Kama unatarajia kumiliki gari aina ya Buggati siku moja,Basi jaribu kuachana na Ushauri wa Madereva wa TOYOOOTAAA. Kwa mahesabu ya haraka haraka Buggati inagharimu kiasi cha dola milioni moja na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mfumo wa utawala wetu ni moja ya mifuko yenye mpangilio unaoeleweka. Mwana nchi wa kawaida anawakilishwa kuanzia serikali ya mtaa au kijiji, kata, tarafa wilaya nakuendelea. Kama kila mwenyekiti...
2 Reactions
4 Replies
874 Views
Hela bhana. Nikiwa nazo nalala usingizi mtamu sana tena mapema tu. Na hata kazi nafanya vizuri sana. Nikikosa hela akili inahama kabisa. Morally inatoka kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
806 Views
Amiri jeshi mkuu mh John Joseph pombe magufuli Mkuu wa majeshi jenerali mabeho Wakuu waandamizi Makao mkuu ngome upanga Wakuu wa kamandi zote Wapiganaji wetu wote wa ndani na nje salaam...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
783 Views
Huwa nina kawaida ya kuacha redio inaimba nyimbo za dini usiku kucha!Usiku wa Leo nimeota nakula nyama iliyokaangwa hata nilipostuka nikakuta redio ilisha zima na sijui nani alizima!Hadi sasa...
2 Reactions
42 Replies
7K Views
Habari waungwana! Mchana wa saa sita tarehe 4 Jumapili Novemba ya mwaka huu nilikuwa nikipita barabara inayoelekea maeneo ya Keko Mwanga. Mbele yangu kulikuwa na mabinti 2 wakitembea polepole...
1 Reactions
72 Replies
10K Views
Nimekuwa nikifuatilia aina ya Viongozi tuliokuwa nao nmejirizisha pasipo shaka kuwa hatutakuja kuendelea kijamii au kiuchumi kwa aina ya Viongozi tuliokuwa nao. Kiongozi ni nani?Kwa tafsiri yangu...
11 Reactions
34 Replies
3K Views
Tulidhani waliimbiwa wapinzani kumbe la hasha! Wahitimu ualimu masomo ya sanaa, Wastaafu, Watumishi, Wakulima, Wavuvi, Wafanyabiashara, Makundi maalumu, Vyombo vya habari, Mitandao ya kijamii...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada kujua kama kuna usafiri wa kwenda iringa mchana huu na nauli yake pia natanguliza shukulani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Nchi hii itaenda vema kwa kalipio na wengine kufukuzwa kazi kwanza ili wengine watia akili. Haiwezekani matata kila kona, Barbara nzuri ulizojenga zimetapakaa matakataka. Serekali za mtaa...
0 Reactions
2 Replies
666 Views
Kituo cha afya makole kilichopo halmashauri ya jiji la dodoma, chapata hadhi na sifa za hospitali ya wilaya baada ya kufanyiwa marekebisho mbalimbali. Akizungumza mganga mfawidhi wa kituo hicho...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za jioni wakuu naomba anaefaham nauli ya kutoka Tanga kwenda mbea anijuze
0 Reactions
4 Replies
711 Views
Habar za leo, ndugu wanabodi, Nawakumbusha tu kuwa kazi yetu kubwa ni kununua Le Madiwaneeeee na wabungeeeee na kuiba kura kwa ballot boxeeeeee,sasa bana ba Tanzanieeee bamekutana na mamutu ba...
1 Reactions
9 Replies
885 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…