Kumbe ndio maana Tanzania ni mojawapo ya nchi zisizo na furaha... Naamini sasa

Eng Mose

JF-Expert Member
Jan 10, 2017
242
322
Unaamka asubuhi unataka kunyoosha nguo uende kibaruani umeme unakatika unavaa nguo iliyojikunja na hujaipenda kwa siku hiyo.

Unatoka na kigari chako unakutana na traffic barabarani anakupiga faini sababu hujasimama dakika mbili kwenye zebra crossing na hakuna mtu.

Unafika sheli mafuta hakuna, unafika kazini unakutana na TRA wanataka kodi., kidogo unamalizana nao umeme nao umeisha., unanunua luku ili ikusaidie kwenye biashara yako mtandao unasumbua ukiwapigia voda nao wapo busy kama kawaida yao.,

Luku unaipata baada ya masaa 6 hadi saa 72. Siku inapita unarudi nyumbani unakuta idara ya maji nao wamekata maji na wao ndio wamechelewa kuleta bili...

Kidogo unasikia kwenye taarifa ya habari 5000 ya kiwi ya traffic..
Hv furaha inatoka wapi!!!???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe una gari? Sie wa Ulilangullu anakotokea profesa wa kaf tuna furaha kwani profesa ameweza kuvuruga chama
 
Unaamka asubuhi unataka kunyoosha nguo uende kibaruani umeme unakatika unavaa nguo iliyojikunja na hujaipenda kwa siku hiyo., unatoka na kigari chako unakutana na traffic barabarani anakupiga faini sababu hujasimama dakika mbili kwenye zebra crossing na hakuna mtu., unafika sheli mafuta hakuna, unafika kazini unakutana na TRA wanataka kodi., kidogo unamalizana nao umeme nao umeisha., unanunua luku ili ikusaidie kwenye biashara yako mtandao unasumbua ukiwapigia voda nao wapo busy kama kawaida yao., luku unaipata baada ya masaa 6 hadi saa 72. Siku inapita unarudi nyumbani unakuta idara ya maji nao wamekata maji na wao ndio wamechelewa kuleta bili... Kidogo unasikia kwenye taarifa ya habari 5000 ya kiwi ya traffic..
Hv furaha inatoka wapi!!!???

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka tuwe na akili ya kuiondoa ccm ndio tutaanza kuwa na furaha.
 
Kama tatzo ni umeme wa kunyosha nguo, si ungenyosha siku moja kabla.

Kama ni foleni si uwahi mapema!

Kama ni luku tazama mita yako kila wakati ili unit Ikibaki chache unanunua after 72 hrs unapata!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hiyo siku moja kabla hamna., na hiyo goleni ukiwahi mwenzio kashawahi kabla yako., nako kuamka saa tisa kuwahi foleni ni utumwa angalia umelala saa nne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom