Kama unatarajia kumiliki gari aina ya Buggati siku moja,Basi jaribu kuachana na Ushauri wa Madereva wa TOYOOOTAAA.
Kwa mahesabu ya haraka haraka Buggati inagharimu kiasi cha dola milioni moja na laki saba(1.7 Million)...Ambapo kwa hela za Kitanzania ni sawa na BILIONI TATU NA MILIONI MIA SABA NA AROBAINI( 3 740 000 000)
Haya sasa!! Turudi kwenye hoja,hivi ni kwa nini hii kampuni watu wanaizarau sana???
Ni kwa sababu ina products nyingi kama Tecno? au product zake sio imara na ni bei chee???? Au ni nini?????
Na ni kwa nini mara nyingi wana supply products hzi kwenye nchi ambazo ni developing(third world)?
Karibu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Last edited: