MANYORI Jr
JF-Expert Member
- Mar 25, 2012
- 462
- 343
Tulidhani waliimbiwa wapinzani kumbe la hasha!
Wahitimu ualimu masomo ya sanaa,
Wastaafu,
Watumishi,
Wakulima,
Wavuvi,
Wafanyabiashara,
Makundi maalumu,
Vyombo vya habari,
Mitandao ya kijamii,
Wahanga wa majanga ya asili,
Wanasiasa makini,
Masikini,
Viongozi wa asasi za kiraia,
Mbumbumbu,
Na Lumumba JK wenyewe.
Nilichojifunza:
Usifurahi mauti ya mwenzio maana yako yaja muda ukifika.
Ni dhahiri dhihiri NAMBA INASOMEKA KOTEKOTE.
TUSIBAGUANE MAANA UBAGUZI HUWA HAUISHI UKIANZA.