Nimeota nakula nyama,nilipoamka nikasikia kuna kitu kimekwama kooni hadi sasa!naombeni ushauri jamani!

Wa matejo

Member
Oct 19, 2018
62
61
Huwa nina kawaida ya kuacha redio inaimba nyimbo za dini usiku kucha!Usiku wa Leo nimeota nakula nyama iliyokaangwa hata nilipostuka nikakuta redio ilisha zima na sijui nani alizima!Hadi sasa nahisi kuna kitu kimekwa kooni !sielewi nifanyeje!naombeni ushauri wenu!
 
Kunywa soda baridi
 
Nenda YouTube. Download search "Mwakasege ndoto nakula nyama". Sikiliza hayo mahubiri yatakupa imani ya kupambana
 
Huwa nina kawaida ya kuacha redio inaimba nyimbo za dini usiku kucha!Usiku wa Leo nimeota nakula nyama iliyokaangwa hata nilipostuka nikakuta redio ilisha zima na sijui nani alizima!Hadi sasa nahisi kuna kitu kimekwa kooni !sielewi nifanyeje!naombeni ushauri wenu!
hiyo redio kama ni ya betri itakua imeisha au kama umeme basi ulikatika ikazima,

kuhusu kooni ni mwili umerespond kutokana na ndoto yako, ubongo una michezo mingi sana wakati mwingine unaweza kuhisi mambo ya ajabu,

relax chief.
 
Huwa nina kawaida ya kuacha redio inaimba nyimbo za dini usiku kucha!Usiku wa Leo nimeota nakula nyama iliyokaangwa hata nilipostuka nikakuta redio ilisha zima na sijui nani alizima!Hadi sasa nahisi kuna kitu kimekwa kooni !sielewi nifanyeje!naombeni ushauri wenu!
dah pole sana mm ninajamaangu aliota hivyo hivyo anakula nyama alikua dereva asubuhi yake akiwa barabarani kwenye mishe zake ikatokea lori likampasua ikawa ndio mwisho wake pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nina kawaida ya kuacha redio inaimba nyimbo za dini usiku kucha!Usiku wa Leo nimeota nakula nyama iliyokaangwa hata nilipostuka nikakuta redio ilisha zima na sijui nani alizima!Hadi sasa nahisi kuna kitu kimekwa kooni !sielewi nifanyeje!naombeni ushauri wenu!
Acha kupiga ramli,nenda hospitalini ukamuone Daktari,utapata suluhu ya tatizo lako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom