666 chata
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,710
- 4,046
Forker 50 ni ndege ambayo majuzi imechorwa twiga ubavuni na kupakwa rangi zingine zinazoendana na atcl.
imetrend sanaa mitandaoni hasa baada ya kupakwa rangi kwa milion 7 tu badala ya milion 300, kwa kweli pesa zilizo okolewa ni nyingi, ila kwa sisi tunaofikiria mpaka ng'ambo ya mto je why pesa nyingi kiasi icho ziokolewe? hao wapigaji mwanzo hawakufikiria? hawakuogopa?
kwa sisi ambao tumekua wapenzi wa shirika ilo sasa tushike lipi? maana tunawasikia na kuwasoma wadau ambao wanatusimulia ilivyo hatari kupaka rangi juu ya rangi kwenye ndege, mbaya zaidi hata ukigoogle ni unaletewa picha kama ya ile ndege ya "esiopia", inafikirisha, hatujui tushike lipi?
shirika miliki la hii foka 50 tafadhali embu tuoni ufafanuzi basi, vinginevyo hakuna mwenye akili timamu atakae ipanda, haujipendi au?
wasiwasi ni akili.