Naogopa kupokea hii namba

Naogopa kupokea hii namba

Author

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
1,745
Reaction score
8,230
Wana JF habari za muda huu,
Jamani kuna namba inanipigia simu kila wiki, yaani kila wiki lazima inipigie zaidi ya mara moja...Huwa nahofu sana kuipokea kutokana na simulizi mbalimbali zinazozungumzwa kutokana na namba hizi mpya. Namba yenyewe ni +255 901761234. Naomba kufahamu kuna yeyote alishawahi kupigiwa na namba hii akapokea?, ni namba ya wapi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ya tigo buana wala usiogope na ukipokea wanakuwa kama wanatoa viadithi fulani
 
Voda hao kila siku wanapiga!
Kuna wengine M pawa walikuwa wanapiga kila siku kidai deni lao inabidi nikipokea niwe nasikiliza kwanza nikijua wap tu sijibu chochote!
 
😂😂😂😂 ntalipa tu! Zaman nilijua niko peke yangu na zile sms zao vitisho!
Nikaja uzi flani humu ndani kuna watu wanadaiwa mpaka laki 6
Wee kumbe voda wanafika hadi huko ntaanza na mm kukopa ila naogopa maden sana
 
Wana JF habari za muda huu,
Jamani kuna namba inanipigia simu kila wiki, yaani kila wiki lazima inipigie zaidi ya mara moja...Huwa nahofu sana kuipokea kutokana na simulizi mbalimbali zinazozungumzwa kutokana na namba hizi mpya. Namba yenyewe ni +255 901761234. Naomba kufahamu kuna yeyote alishawahi kupigiwa na namba hii akapokea?, ni namba ya wapi?
Hawa TALA wanagawa senti za mboga.
 
Pokea usimuliwe hadithi, mi sijisumbuagi kuipokea. hivi hii mitandao ya simu ina tumia akili kweli? Wanajuaje kama wakati huo Nina muda wa kusikiliza hadithi? Wanaboa sana hawa kuku
 
Back
Top Bottom