Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Unguja.Maafisa ulizi wa mamalaka ya uwanja wa ndege Unguja wamefanikiwa kumkamata na kumuweka chini ya ulinzi raia mmoja wa Misri kwa tuhuma za kutaka kuondoka nchini akiwa na vikobe 47 Akitoa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hii imetokea leo bungeni mara baada ya mbunge wa upinzani kupitia chadema kuomba bunge kujadili swala la nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa serikali...
3 Reactions
43 Replies
7K Views
Haka kajamaa kana sauti fulani hivi amazing ya kikekike. Shida sasa anaposofiwa huwa anazidi sana kubana koo lake. Anapenda sana kwaya zenye wanawake watupu hasa waKiroma. Anapenda sana kuhoji...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Heri ya sikukuu ya Pasaka kwenu wakuu! Siku kuu za kikristo zina symbolism za kipekee - Christmas ina Santa Claus na mti wa krismasi! Easter ina yai na pia kuna sungura (Easter bunny). Nasikia...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
kwa yeyote ambae yupo serengeti seronera muda huu au anajamaa yupo serengeti anijuze nimpe wqgeni watatu sasa hivi..0787803577
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni siwe na mengi ya kuropoka nielekee moja kwa moja kwenye min thread. Jamani binafsi nmeimalizia sikukuu home.Ningependa ku share ma feedback kibao kwa wale waliokuwa viwanja hali ilikuwa vipi...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Kituo cha sheria na haki za binadamu LHCR Kinapinga vikali matumizi ya neno "umama" katika mitandao ya jamii, sababu neno hilo linamdhalilisha mwanamke na kumfanya aonekane ni kiumbe dhaifu mbele...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wana JF wenzangu, Naomba ifahamike kuwa kipato changu ni cha kawaida sana ila nina nia ya kutembela hifadhi ya taifa ya Mikumi mwezi Juni ili kufurahia rasimali zetu. Plan yangu ni kutumia siku...
6 Reactions
33 Replies
7K Views
Kwa nini wanawake wakizeeka hawawi na kipara kama baadh ya wanaume wakati sote ni binadamu Pengine mi sio wa kwanza kujiuliza swali hili ...na je kuna dawa yoyote ambayo mtu akiipata akanywa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Tumedanganywa sana na wataalamu wa NASA kuhusu "shape" ya Dunia kuwa dunia ni kama tufe na pia kuwa dunia inajizungusha ili kupata usiku na mchana na pia dunia inazunguka jua ili kupata majira...
7 Reactions
162 Replies
24K Views
Huo ndio uzuri wa teknolojia uume wa kuku ukilia ureno Portugal Tukuyu makandana hospital wanajua in a flash of an eye tiss ya tz endeleeni kulala usingizi wa pono (porno)
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Mbele naona nn? Sometimes naona niingie kwenye system( i mean ajira serikalini au kampuni za watu binafsi naamini uwezo ninao sio ngum kupata nafasi coz nishapitia), sometimes naona lyf itakua poa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa hali hii nimejipa muda wa kuendeleza mapambano ndani ya hii nchi yangu ni mwisho December mwaka huu basi.. Baada ya hapo sitakuwa na namna zaidi ya kutafuta nafuu kwenye nchi nyingine. Ni...
5 Reactions
67 Replies
6K Views
#TCRA naombeni majibu haya kabla ya kuhitaji alama za vidole za kila mmiliki line, je technology ya kisasa imewashinda? TCRA wamenishangaza sana, wanataka alama za vidole kwa kila mmiliki wa line...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephati Gwajima amewataka watu kujifunza kujitegemea. Aliyasema hayo leo Aprili 21 wakati akitoa somo katika misa ya sikukuu ya Pasaka na kuongeza kuwa kuna...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu. Nipo mahala ambapo ni rahisi sana kitrack kila kitu kinachotoka au kuingia kwenye simu ya 'waubavu' wangu. Iwe calls , message na huko WhatsApp kwake. Hata akifuta mm nina uwezo wa kubaki...
0 Reactions
5 Replies
921 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni, amesema hayupo tayari kuona kuwa anatumbuliwa na Rais John Magufuli kutokana na uzembe wa kusimamia suala la dawa za kuevya Zanzibar. Masauni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yaani ukipita pita maeneo ya ofisi za umma mambo ni shwariii kabisa. Wanafanya kazi kwa moyo na kujituma huku wakinywa chai na mikate during the breakfast na muda wa asubuhi hufuatwa na Basi la...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu naandika hii maada nikiwa na hasira isiyozuilika. Hata kama Ni usalama wa barabarani sasa huu ni upumbavu.Rushwa imekuwa logo yao ya kazi hata kama unakila kitu kwenye gari.Imefikia hatua...
14 Reactions
208 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…