Kwanini wanawake wakizeeka hawawi na kipara kama baadh ya wanaume?

Kwanini wanawake wakizeeka hawawi na kipara kama baadh ya wanaume?

NYAMUNGUTU

Member
Joined
Apr 21, 2019
Posts
11
Reaction score
15
Kwa nini wanawake wakizeeka hawawi na kipara kama baadh ya wanaume wakati sote ni binadamu Pengine mi sio wa kwanza kujiuliza swali hili ...na je kuna dawa yoyote ambayo mtu akiipata akanywa inaweza kumrudisha kuwa na nguvu za ujana ilhal akiwa amezeeka?

naombeni anaejua anifundishe kuhusu..
hivyo vitu vitatu
 
Back
Top Bottom