Changamoto ya kuajiriwa au kijiajiri kama kwa wale waliosoma shule. Tushauriane

Job sanga

Member
Apr 3, 2019
60
69
Mbele naona nn?
Sometimes naona niingie kwenye system( i mean ajira serikalini au kampuni za watu binafsi naamini uwezo ninao sio ngum kupata nafasi coz nishapitia), sometimes naona lyf itakua poa zaidi nikijisimamia mwenyewe kutoa huduma zangu binafsi za kijamii nazofanya( napata kiasi sio uhakika sana).Kwawale waliotoboa au wenye mwanga wa mbele washapitia ipi bora??
Pls don't say fanya vyote
 
Back
Top Bottom