karanga mbichi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 269
- 223
kwa yeyote ambae yupo serengeti seronera muda huu au anajamaa yupo serengeti anijuze nimpe wqgeni watatu sasa hivi..0787803577
Hapatikani huyu mkupaya0784263074 kuna jamaa huyo anaitwa Mkupaya.
Labda kwa sababu ulipopewa namba hata ''asante'' imekushinda ukabakia kusema ok!Hapatikani huyu mkupaya
Hahahaha dah we jamaa,,,asante kwa neno lako piaLabda kwa sababu ulipopewa namba hata ''asante'' imekushinda ukabakia kusema ok!
Thanks0754263074 Mcheck na hiyo pia ni Mkupaya.
Hiyo voda pia not reachable0784263074 kuna jamaa huyo anaitwa Mkupaya.
Zichukue tu uanze kuwachatishaMkifanikiwa msisahau kufuta hizo namba....[emoji48][emoji48][emoji48]
Zichukue tu uanze kuwachatisha
Mimi ni tour guide piaLabda nikipata yako [emoji6][emoji6][emoji6]
kwa yeyote ambae yupo serengeti seronera muda huu au anajamaa yupo serengeti anijuze nimpe wqgeni watatu sasa hivi..0787803577
Mimi ni tour guide pia