Chief Sam
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 2,579
- 4,878
Ni siwe na mengi ya kuropoka nielekee moja kwa moja kwenye min thread.
Jamani binafsi nmeimalizia sikukuu home.Ningependa ku share ma feedback kibao kwa wale waliokuwa viwanja hali ilikuwa vipi.
Wale wazee wa gambe nawasubiri mkipiga supu mnipe mrejesho.
Kwa wale mliopata majanga poleni izo ni erros kazini hazikwepeki.Nilikuw timu popo kuanzia saa sita nmelala masaa mawili sababu kichwa ilikuw empty.naomba niwasilishe karibuni.