WEWE ULIEKATISHWA TAMAA,ULIAMBIWA HUFAI,MBAYA JIFUNZE HAPA....LIKO KUSUDI LA KUUMBWA HIVYO ULIVYO...
Na Mrisho Gambo.
Lizzie .Alizaliwa march 1989 akiwa njiti, wiki nne kabla ya mda sahihi wa...
Habari wakuu naomba nitangulie kusema mimi sina utaalamu wowote wa maswala ya kitabibu lakini nakaa Mkoa wa Dodoma.
Leo taasisi inahudia watu wenye matatizo ya akili yaani MIREMBE HOSPITAL...
Wakuu naombeni kwa anaejua kuhusu kozi za saikolojia na ushauri vipi soko lake likoje wakuu?
Naipenda hii kozi na udaktari ila nimeamua nifanye tafiti nichague moja.naomba kujua ipi ni bora zaidi...
Husika na kichwa cha habari,kwa heshima na taadhima sisi wananchi wa Kifuru tunakuandikia barua hii kwa meneja wa DAWASA ya kwamba sisi wakazi wa kifuru na viunga vyake,tunapenda kukumbushia swala...
MKAZI wa Mji Mdogo wa Sirari tarafa ya Inchugu, wilayani Tarime mkoani Mara, Charles Mkono (26) ameuawa kwa kisu wakati wa usiku wa mkesha wa Pasaka.
Imeelezwa kuwa mtu huyo alichomwa kisu...
Huyu mwingine anayejiita mwajiri mkuu ameisha ota mapembe, na huku uraiani tukilalamika lawama kwetu eti sisi ndo tunawapa ushindi wa bure.
Kiukweli maumivu tunayopitia mungu ndo anajua, haki...
Katika watu wanaokula nchi vizuri kwenye upande wa magari serikalini nadhani ni huyu mtu
Tofauti kabisa na ma-RC wengine, huyu kijana wa kolomije naona gpsa wamempendelea sana.
Pasaka njema
Nimekuwa napata shida kidogo kutokana na maoni ya watu kuhusu hotuba ya Rais alipokutana na wadau wa mifuko ya hifadhi ya jamii, vyama vya wafanyakazi na wengineo. Katika hotuba hiyo, Rais...
Chama cha Mapinduzi tunaomba suala la maslahi ya wafanyakazi liangaliwe kwa jicho la tatu!!
Malengo mengi ya serikali hayatafanyika kwa ufanisi.
Pia rushwa na ufisadi havitakoma iwapo watumishi...
Baada ya kelele za akina Sugu na wabunge wenzake wa upinzani kuhusu nyongeza ya mishahara ya wafanyakazi wa uma hatimae JIWE amekubali kubadili "gea" angani...Ikumbukwe kuwa hakukuwa na fungu au...
'UTALII WA NDANI': Hapa ni nyumbani kwa Nuru Lugina, almaarufu ‘Mzee wa Mapangoni.
Kwa miaka kadhaaa, Lugina na familia yake wamekuwa wakiishi kwenye pango hili linalokadiriwa kuwa na urefu wa...
Habari ya mapumziko wana JF...
Muda mchache uliopita nimetoka pharmacy kununua dawa za nyumbani,kwa utaratibu nikiojiwekea lazima nyumbani pasikose pain killers ,magnesium,flagyl,plasta etc kwa...
WATANZANIA wametahadharishwa kuhusu matatizo ya macho na wametakiwa kujiepusha na mambo yanayosababisha ubovu wa viungo hivyo muhimu. Wito huo umetolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii...
Moshi/Mwanga. Matukio ya watuhumiwa kuuawa wakiwa mikononi mwa polisi yanaendelea kulitikisa jeshi hilo la polisi baada ya kijana aitwaye Waziri Mlacha (18), kudaiwa kuuawa akiwa mikononi mwa...
WAZIRI wa Madini, Dotto Biteko, ameziagiza kampuni zote za kuchenjua na kuchoma dhahabu katika wilaya za Songwe, mkoani Songwe na Chunya mkoani Mbeya, kusitisha kwa muda usiojulikana shughuli...
MADINI ya vito yenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 363 yamekamatwa katika mashine za kukagulia mizigo ya mpakani mwa Tanzania na Kenya, katika forodha ya Namanga kati ya Februari na Machi...
Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa yoyote anayeweza kufahamu jinsi ya kupata salary slip ya miaka ya nyuma kuanzia 2016 kurudi nyuma huko kabla ya kubadili mfumo na kuja huu wa sasa, maana...
Naelekea moja kwa moja kwenye Mara
Hotuba ya Raisi JPM wakati akifuta kikokotoo aligusia kuhusu fao la kujitoa. Akatolea mfano wa wafanyakazi wanaoshiriki mradi wa Ujenzi ambao unadumu kwa miaka...
habari yenu wanajukwa, MM ni Mtumishi huku wilaya ya monduli=Arusha ninamwaka mmoja huku ila nimeona kunafurusa especially kwa kupitia Jamii ya huku (maasai) naona kuna vitu vingi unaweza fanya...