Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,494
Habari wakuu naomba nitangulie kusema mimi sina utaalamu wowote wa maswala ya kitabibu lakini nakaa Mkoa wa Dodoma.
Leo taasisi inahudia watu wenye matatizo ya akili yaani MIREMBE HOSPITAL inatimiza miaka 26 ya huduma za KISASA ZA HALI YA JUU,sijui changamoto zake na mafanikio yake lakini kikubwa binafsi nafahamu inasaidia watu wengi kutoka mikoani na Nchi za jirani.
Naomba tuwapongeze kwa Huduma wahusika na kama kuna changamoto kwa anayejua aseme tuzijue wote....
Naomba kiwasilisha