Naomba kujua umuhimu wa kupitisha Reli ya SG juu, kipande cha karibu na stesheni

PENTAKINYE

JF-Expert Member
Jan 3, 2019
818
1,000
Habari wana jf mimi kuna kitu kidogo tu kina nitatiza hivi kulikuwa na ulazima gani wa kuipitisha juu treni ya kisasa inapokaribia kituo cha DSM JE NI KUKWEPA MUINGILIANO NA BARARABARA au kuna sababu nyingine?

nawatakia siku njema
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,900
2,000
Issue simpo

Ni kwamba other traffics thru other modes of transport ziweze ku flow unlimited. Maana ingepita chini ingeingiliana na reli na barabara. Hivyo flow ya traffic ingekuwa ndogo.

Vrou van samaria give me bit of water to drink
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,900
2,000
Reli haipiti kwenye mabonde na miinuko kwa distance fupi. Sasa imagine distance ya kutoka station hadi makutano ya buguruni, hapa makutano ya ilala, ukija makutano ya Hapa KKo hadi unafika stesheni. Mabonde na miinuko hiyo reli ingepitaje
JE MKUU kusingekuwa na uwezekano wa kutengeneza ka flyover kwenye kila makutano ya barabara ilikuserve money? kitaalamu lakini nauliza nisije onekana napinga maendeleo

Vrou van samaria give me bit of water to drink
 
Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
5,217
2,000
Dogo tulisa bol. Hizo ni kiki tu ili msukuma akitoka Shinyanga ashangae jiji. Kuanzia flaiova tazara. Intachenji ubungo reli ya juu gerezani na barabara ya baharini cocobich hadi agakhan. Kwa mfano ukiwa na kagari ukamchukua mtoto wa Mwanza ukamtembeza kwenye hayo maeneo ukamalizia ba daraja la nyerere hakika utapewa mpaka ukinai
 
Mkuu wasukuma sikuhizi wameelimika siyo kama zambani wako vizuri tu vitu hivi wanavijua sanaaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom