Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,014
Mawe ya vimondo ni ni gharama sana. Bei ya kawaida unakuta ni $50 kwa gram moja. Hapo kilo inakuwa $50,000, bei kuliko dhahabu. Soko kubwa lipo Morocco ambapo watu kutoka sehemu mbalimbali huenda kununua. Ni rahisi sana kupata vimondo jangwani kuliko sehemu zingine.
Kimondo cha Mbozi ,Songwe kuna uzito wa taani 16, ni cha nane kwa uzito duniani. Hivi kwanini wasikipeleke makumbusho ya taifa?
Kimondo cha Hoba kipo Namibia, ndiyo kikubwa zaidi duniani, kina tani 60.