ze farmer
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 921
- 1,800
Hili ni swali gumu sana lenye majibu mepesi.
Moja:
Uongozi Safi (Best leadership). Nchi hii hata ingejaa dhahabu kiasi gani bila uongozi imara kupiga hatua ni ndoto za mchana. Wakati wengi wenu mkikimbilia nchi za Asia, uarabuni na kwingineko tambueni tu nchi hizo at one point in time tulikuwa tuko Sawa ni terms of level of development.
Mbili:
Strong institution. Hapa ni kuwa lazima tuwe na Katiba imara, mhimili wa mahakama usioingiliwa hata na taasisi zingine na wenye nguvu ya kumshitaki hata raisi ikifanya fyongo.
Tatu:
Kazi na elimu. Watu wafanye kazi na kuwe na tuzalishe wataalamu wengi kwa maana ya kuwa na strong and knowledgeable human resource base.
Mengine ni kama ziada tu.
Kukosa Namba moja mengine yote sahauni.
Conclusion: Wale mnaopiga kelele kuwa Tanzania itaendelea kuwa kama ulaya kwa kasi sijui ya awamu gani basi yafaa mujihoji..
Wito. Tufanye mabinduzi ya kiuongozi sio lazima CCM itoke madarakani bali tubadili wanaotuongoza kuwa na sifa ya kuliletea Taifa maendeleo. Pia tunaweza itoa mana ni sisi tumeiweka