Naombeni nitoe Ushuhuda wa Safari yangu hii ambayo niliianza juzi j5 hadi hivi leo ndio natoka hapa Dom ila WHY DODOMA KUITWA JIJI??? Nimepata shock sana wazee wa tafakuri ya JIJI sio kwamba...
Wakuu habari zenu!
Kuna hizi tabia mbili ambazo binafsi hua zinanikera sana hivyo nimeona niziweke hapa huenda kuna zinao wakera pia. Vile vile huenda wenye tabia hizi wakawa hawajui kama...
Avocado farmers in the country will now be able to export their commodity to China after President Uhuru Kenyatta and his Chinese counterpart Xi Jinping signed a deal.
The deal which was signed on...
Hawa wahudumu wa Bar unaweza agiza chakula ukamkaribisha kimasihara yaani kiutani utani tu akaja kukaa na wakavunja bawa(wakala)
Acheni habari hizo bwana kwani kusema ahsante tu haiwezekani?
Last weeks robbery at Barclays Banks Kinondoni branch, where armed gangsters reportedly grabbed Sh300 million, was faked, The Citizen can authoritatively report.
Impeccable sources close to...
Ndugu wana JF, Ni muda sasa, takribani miaka 6 mfurulizo, Mkoa wa Tabora kimekuwa kichaka cha majambazi na kufanya unyang' anyi wa kutumia silaha huku Wilaya ya Urambo ikiongoza kuliko wilaya...
Kimbinga hicho kikiwa kinaelekea maeneo ya Msumbiji na Tanzania, Mamlaka nchini Comoros imesema kilifika nchini humo huku upepo wake ukiwa na mwendokasi wa Kilometa 140 kwa saa na kusababisha...
Najua TISS Ulinzi wa viongozi wana umahiri mkubwa kuhakikisha kuwa viongozi wetu wako salama na wanatekeleza majukumu yao bila wasiwasi wa usalama wao.
Lakini sometimes walinzi hawa wanavuka...
Habari wana Jf.
Niende moja kwa moja kwenye mada, Jina la Dr Ryoba ni maarufu sana hapa Tanzania lakini umaarufu wake ni wa hovyo na unazidi kuwa wa hovyo pamoja na kwamba ni msomi wa kiwango cha...
TUSIPOSEMA LEO YA LINE ZA SIMU YATATUKUTA YA KIKOKOTOO
Ni jambo jema kwa serikali kuhakikisha sheria zinatekelezwa ipasavyo lakini tu sheria hizo zikiwa ni nzuri na si kandamizi. Leo tunaomba sana...
Kwanini sisi tunasema saa saba(7) usiku wakati wazungu (wa magharibi) wanasema "one o'clock in the morning".... yaani muda huo huo si tunaita usiku wenzetu wanaita asubuhi! Nani sahihi zaidi...
Kuja jamaa humu kaja na Uzi wa kupangisha zile nyumba za NHC zilizopo magomeni usalama.
hivi NHC huwa inamtarget nani kwa hiyo bei kwenye nyumba zake ???
Nini maana ya VISION NA MISSION ZA NHC...
Kama viwanda vyetu havitaji chuma chetu na makaa yetu tumekosea Sana.
Hatuwezi kujivunia kuwa na viwanda vingi vya kutengeneza pampas na kuucha mhimili mkubwa wa viwanda duniani wa chuma na makaa...
Jana nilikatiza kwenye ule mtaa pendwa wenye bar za Corner bar(Ambience) na Durban night club (Kangaroo), ilikuwa ni mida ya saa sita usiku. What i saw was nothing short of a ghost town in the...
Mkurugenzi wa Manispaa Kigoma, Waziri husika na viongozi wengine wanaoweza kusaidia hili, fuatilieni Ofisi ya Utumishi Kgm kuna tatizo somewhere.
Wafanyakazi wananyanyaswa.
Wastaafu mafaili yao...
Kiukweli kutapeliwa hakujawahi kwepeka hata uwe mjanja uliezaliwa katikati ya mji,utatapeliwa tu aidha kwamakusudi au bahati mbaya
Mimi Miaka ya nyuma, ubungo walishawahi niotea nikiwa na makusudi...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema Serikali imeliteua Gereza la Kwitanga lililopo wilayani Kigoma kuwa kituo kikuu cha uzalishaji wa zao la michikichi.
Hivyo ameuagiza uongozi wa gereza hilo...
Aisee kwa sasa kuna online comedy nyingi hapa bongo, zingine miyeyusho ila zingine wanajitahd..kwa mtazamo wangu zifuatazo ndo bora kabisa kukuondolea stress ya maisha Magumu
1.Joti
2.Oka-Martin...
Wadau inasikitisha sana kwa Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)kupandisha ada ghafla kwa masters 2013. Mpaka watu wanatuma maombi ada iliyotangazwa ilikuwa Tsh 3,700,000/-kwa College of Arts and...
Utakuta jamaa ndani ya mwaka mzima wao wako nje ya vituo vya kazi wanapiga kazi na jamaa wa ps3 wakishirikiana na tamisemi.
Hawa jamaa wako kwenye mradi wa planrep ( mfumo wa mipango na bajeti)...