N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 8,318
- 12,824
1. Lala muda wa kutosha usiopungua saa 8;
"Huenda likaonekana kuwa jambo la ujinga, lakini tunajua kwamba kulala kwa muda zaidi na usingizi mzuri kunapunguza nafasi ya wewe kuugua msongo wa mawazo na huimarisha tabia ya mtu ," amesema Santos.
2. Jifunze kuwa na shukrani;
3. Tafakari;
kutafakari na mazoezi mengine yanayochangamsha akili yanaweza kukusaidia kuwa na furaha zaidi.
4. Jiliwaze na uzungumze na jamaa pamoja na marafiki;
Kwa mujibu wa Santos, kuna utafiti unaoongezeka unaobaini kwamba kuwa na muda mzuri na muafaka na familia na marafiki wa karibu inasaidia kupata furaha.
Kukaa na watu tunaowapenda - au kuwa na mahusiano ya karibu katika jamii - kimtazamo wa kisaikolojia - insaidia kuimarisha afya yako.
Sio jambo kubwa, anasema Santos, hakikisha tu "unajivinjari, utambue kwamba umetenga muda huu kuwa na walio karibu na wewe, na utambue namna munavyotumia muda huo".
na
5. Punguza uhusiano wa mtandaoni kwani sio halisi.
Huenda tukapata furaha isiyo halisi kutoka marafiki wa mitandao ya kijamii anasema Santos, na anasema ni muhimu mu asijisahau na hilo.
"Utafiti wa sasa unaonyesha watu wanaotumia mitandao ya kijamii kama Instagram , huwa hawana furaha ikilinganishwa na wasio tumia mitanao hiyo sana."
CHANZO: BBC
My take: shika sana ibada iwe namba 6.