wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,596
- 29,531
Mwanzoni ilikuwa buku 2 unapata 1.2gb na muda wa maongezi kibao na sms 1500 juu kwa muda wa siku 7 ila kuanzia juzi wamepandisha eti 1500 1gb na muda maongezi na sms kwa siku 3 tuu na 5000 3gb na muda wa maongezi na sms kibao..
Sasa kwa hali hii hamnipati tena mshaniudhi, na saa hivi kuna ofa yao ya sh.2000 1gb siku 7 unatumia watsap, instgm, twitter, na fb ila JF ukiingia inagoma hili bando halisapoti roho inaniuma sana.
Sasa kwa hali hii hamnipati tena mshaniudhi, na saa hivi kuna ofa yao ya sh.2000 1gb siku 7 unatumia watsap, instgm, twitter, na fb ila JF ukiingia inagoma hili bando halisapoti roho inaniuma sana.