Sasa hawa Wafia Dini wa hizi Dini mbili kongwe wanavyopigana kumbe muhusika Mungu mwenyewe hana Dini na hawa wanasiasa wanaojinasibisha na Mungu kumbe wala haya hayupo huko na Mungu hapiganiwi...
Mdogo wangu wa darasa la tatu amefanyiwa ukatili wa kuingiliwa mbele na nyuma na mtu ambaye kwa sasa yupo nje kwa dhamana na tunaona dalili ya kutotendewa haki kutoka kwa mamlaka zinazohusika...
Habari wanajukwaa.
Nimekuwa nikisikia hii kauli mara nyingi kuwa walimu hawazeeki tena wanasema hasa wa shule ya msingi, kwa sehemu mimi pia nilikuwa naiamini ila nadhani haina ukweli. Nitaelezea...
Hapa kijijini kuna mfugaji yupo juu ya sheria na kijiji kinaonekana kimeshindwa kumdhibiti, sheria ya kijiji cha bonye inamtaka kila mmiliki wa ngβombe asizidishe ngβombe zaidi ya 10 , jambo la...
Mara baada ya kusoma kwa umakini mkubwa sana uzi unaohusu kuita jini na kulitumia vile ambavyo unataka nilitokea kuvutiwa sana na ule uzi. nikawaza sana kwamba kama nikifanikiwa kumiliki ata...
UPANUZI NA UBORESHAJI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM MAMBO YAZIDI KUNOGA
UJENZI WA MATENKI YA KUPOKEA NA KUHIFADHI MAFUTA WAFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 52.
Mradi huu Utagharimu kiasi cha Shilingi...
Ule msemo wa wadhungu 'you are what you eat' ni kweli kabisa... muonekano na afya yako vinaendana na tabia zako za kula - espesheli aina ya vyakula unavokula.
ukila haraka haraka bila kutafuna...
Mafundisho makuu ya Yesu Kristo ni Upendo.
1. Kuwapenda jirani kama unavyojipenda mwenyewe
2. Kuwapenda na kuwaombea maadui zako.
3. Ukipigwa shavu moja ugeuze na lingine
4. Kusamehe saba...
Tunapo endelea kutafakari matukio yakuogofya yanayo endelea kutokea duniani tusisahau kujitakasa miili na roho zetu ili muda utakapofika tufae mbele zake.
Kujitakasa ni kujiweka mbali na dhambi...
Miaka kadhaa iliyopita, wakati tukiwa mdogo na marafiki zangu wengi , miongoni mwa rafiki yangu wa karibu sana huyu ndugu yangu wote tumezaliwa mwaka mmoja tofauti ni tarehe na miezi...
Kuna siku moja ambayo kila mwanadamu duniani ataamka na kugundua kuwa safari yake imefika mwisho.
Siku hiyo haitajali una pesa kiasi gani.
Haitajali una magari mangapi.
Haitajali una nyumba...
Ukarabati na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma umefikia zaidi ya asilimia 67.
: πππππ ππ πππππππππ πππππ πππππ πππππ πππππ ππ ππππππππ ππ ππππππ
Huu ni miongoni mwa Miradi ya kimkakati...
1.AMANI YA NCHI YETU
2.UMOJA WA KITAIFA
3.TUOMBE KWA AJILI YA VIONGOZI WETU
4.UCHUMI WA TAIFA
5.UTAWALA WA HAKI NA SHERIA
Chochote Mungu atakachokuongoza kuomba KWA AJILI ya NCHI yetu omba mana...
Naweza kusema kwamba Mh. Jakaya bwana enzi zake watu walikuwa huru sana, Huyu mzee bwana licha ya mapungufu yake, kuna vitu alifanya watu nadhani mpaka kesho watamkumbuka na kumuheshimu.
Picha...
Wakuu kumekucha.Kuna ishu Moja hapa ngoja niiseme hapa mnishauri.Kuna bibi Mmoja hivi hapa jirani nilipopanga.
Huwa tukionana tunasalimia fresh mambo mengine yanaendelea Kuna muda ananiomba...
Kuna maisha baada ya kufa, au tukifa ndiyo mwisho wa kila kitu?
Hili ni swali ambalo limekuwa likiwagawa watu kwa karne nyingi. Wapo wanaoamini kuwa kifo ni mwisho wa kila kitu, hakuna fahamu...
Rais wa Kenya, William Ruto, ameagiza kuanza kwa operesheni ya nchi nzima dhidi ya raia wa kigeni wasio na vibali na wanaoendesha biashara ndogo ndogo, maduka ya rejareja, vibanda na biashara za...
Tarehe 13/3/2018 nilisikiliza taarifa ya habari saa mbili usiku kutoka startv.
Habari ilisema kwamba wafanyabiashara wanalalamika kwa kunyanyaswa wakikutwa na mabondo na hutozwa faini ya sh...
Moja ya njia halali wanayotumia wanawake kufanikiwa ni kutumia nyota za wanaume kwa njia halali mfano kuna wanawake wanaingia kwenye mahusiano na watu maarufu baada ya mda nawao wanakuwa maarufu...