Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, Mimi siyo Mtumishi wa Umma (Ni mjasiriamali) ila hili suala la Maslahi ya Wafanyakazi/Watumishi limenigusa sana. Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu hivi vyama vya Wafanyakazi...
22 Reactions
97 Replies
7K Views
POLISI mkoani Mwanza inamshikilia mwanafunzi wa kidato cha pili anayesoma Shule ya Sekondari St Apostos, Yela Sylvester maarufu Cosmas (17), kwa kosa la kudanganya wazazi wake kuwa ametekwa ili...
2 Reactions
13 Replies
5K Views
Kuna watu mitandaoni wanaandikaga vitu nyeti lakini ni kama vile hakuna impact, kina Ansbert Ngurumo, kina Chahali, kina Kwinyara Kwinyara ila yule dada wa Marekani akiandika kitu hadi vyombo...
7 Reactions
11 Replies
4K Views
Napenda kupongeza uamuzi wa kupiga marufuka mifuko ya plastic nchini. Jambo moja linanitatiza. Je katazo hili inasemekana halihusu bidhaa zinazofungashwa kwenye karatasi za plastic. Lakini...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wasalaam Jf. Wewe ni nani? Nafsi ni nini? Tunazielewa vyema dhana hizo, jambo la msingi ninalopenda kushare na ninyi ni kuishi kwa uhalisia, kuishi wewe kama wewe, kuna maumbo mawili hapo, umbo la...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakubwa shikamooni, wadogo mamboo Kifupi, nimepata safari ya muda kikazi mkoani Mbeya. Sasa naomba kujua juu ya jiji hili katika mambo kama mitaa mizuri, sehemu za chakula, afya, makanisa etc
3 Reactions
49 Replies
6K Views
Sijui ni kwangu peke angu au? Tangu saa mbili asubuhi mtandao hauwaki.. Hata kupiga *102# haukubali Sijui shida nini. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Huyu ni mwanamziki Wax Dey wa Cameroon akilitumia jina la Magufuli kama ishara ya matumaini ya Afrika. Tukubali sifa hizi na tujivunie kumchagua Magufuli badala ya kuzomea bila sababu.
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Siongei sana coz ratio ni maarufu kwa walio wengi . Nazungumzia tatizo last nguvu za kiume. Iwapo unataka kuongeza geji AU km uliishiwa kabisa mafuta fanya kifuatacho and nakuhakikishia kwa uwezo...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Wakuu mwenye kuelewa anijuze nimekata bima ya gari toka kwa wakala mmoja hivi, wiki 3 zilizopita, lakini mpaka leo ni siku ya 22 nikiangalia ile app ya TIRA inaniambia gari bado inadaiwa bima. Je...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wachinjaji wakata ya MABANDA misima handeni tanga waitaka serikari imchukulie hatua zakisheria MWANA mifugo wakata hio kwakua anawapa masharti magumu SNA wachinjaji hao halihio husababisha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tanzanian freelance journalist Azory Gwanda has not been seen for 500 days, and his family and friends fear the worst. Prior to his disappearance, Gwanda had exposed the murders of over 40 people...
2 Reactions
61 Replies
8K Views
Sheria iliyoianzisha Mamlaka hii imetamka kazi za TCRA kama zinavyoainishwa hapa chini: – 1. Kutoa leseni, kuongeza muda wa leseni na kufuta leseni pale ambapo masharti ya leseni husika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naona kwenye ziara za Mkulu anagawa maburungutu ya mshiko kila anapoguswa na changamoto anazoambiwa. Hizi pesa zinatoka wapi?
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimejaribu kufuatilia zoezi la kupima mabasi kwenye mizani na kuona ni zoezi linalopoteza muda mwingi wa safari, hasa safari za mbali lakini pia nimeona hili ni zoezi lisilo na tija. Mabasi yenye...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari wadau. Mh Rais JPM aliagiza wafanyakazi wapewe mafao yao ambapo wanaondoka kwenye ajira kama ilivyokuwa hapo miaka ya nyuma. NSSF wanatoa bila vikwazo. Lakini nashangaa PPF wanazuia mafao...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Mchungaji Maboya wa huko Nairobi nchini kenya anasema:- "Pesa ndo kila kitu aisee, asikudanganye mtu. Pesa huleta heshima mtaani. Wallet iliyojaa noti (loaded) mpaka suruali inashuka, ni heshima...
3 Reactions
24 Replies
6K Views
Miwani nayozungumzia mimi sio zile anazovaa Diamond jukwaani, Bali ni zile za macho ambazo watu wengi huvaa kwa matatizo ya macho Katika research yangu niliyoifanya kwa miaka mingi nimegundua...
0 Reactions
36 Replies
8K Views
Nimepata nafasi Kuangalia filamu mpya za mwaka huu Love kills, PIMP na American Satan hakika ule mwisho wa Dunia Umekaribia namna filamu hizo Zinavyopromoti mapenzi ya jinsia moja na ushetani...
9 Reactions
21 Replies
6K Views
  • Closed
Sasa hivi tunavyoomboleza kuondokewa na mdau mkubwa katika tasnia ya habari. Leo nataka kuangalia nani ataenziwa na watanzania pamoja na viongozi wetu katika mchango kwa jamii. Ruge alienziwa...
8 Reactions
111 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…