Mchungaji: Asikudanganye mtu, pesa ndo kila kitu, wallet ikiwa 'loaded' ni heshima mtaani

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,551
Mchungaji Maboya wa huko Nairobi nchini kenya anasema:-

"Pesa ndo kila kitu aisee, asikudanganye mtu. Pesa huleta heshima mtaani. Wallet iliyojaa noti (loaded) mpaka suruali inashuka, ni heshima mtaani. Wanaume wengi wasio na pesa huongea sauti za kike, sauti lainii.Kijana mdogo akiwa na pesa anaogea sauti yake original kwa kujiamini"

Mwisho wa kunukuu.

Nini maoni yako?
 
Attachments

  • Pesa ndo kila kitu.Asikudanganye mtu.mp4
    5.8 MB · Views: 57
No comment...nkichangia naeza ishia kuwatukana hawa wanaojiita watumishi wa Mungu...
 
Ukitaka kujua pesa sio kila kitu kamuulize manji saizi kule keko pesa yake imemsaidia aje kwa mda huu(samahani kwa mfano huu)
MUNGU NDO KILA KITU
 
Yesu aliposikia hayo alimwambia, Umepungukiwa na neno moja bado; viuze ulivyo navyo vyote, ukawagawanyie maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kisha, njoo unifuate.
Lakini aliposikia hayo alihuzunika sana, maana alikuwa na mali nyingi.
Wachungaji wa siku ni matapeli tu wao kuhubiri utajiri wa fedha badala ya wokovu
 
Hii inakaribia ku expiry ulikuwa hujaipata tu,afu kasikilize mahubiri yote ndio utapata concept sahihi hivi utawapoteza wavivu wa kufuatilia mtapotoshana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Askofu Mkuu Danstan Maboya ni wa Kiteto Arusha, wala sio Mkenya wa Kenya, ni Mngoni wa Ruvuma Tanzania.

Nawasilisha.
Mchungaji Maboya wa huko Nairobi nchini kenya anasema:-

"Pesa ndo kila kitu aisee, asikudanganye mtu. Pesa huleta heshima mtaani. Wallet iliyojaa noti (loaded) mpaka suruali inashuka, ni heshima mtaani. Wanaume wengi wasio na pesa huongea sauti za kike, sauti lainii.Kijana mdogo akiwa na pesa anaogea sauti yake original kwa kujiamini"

Mwisho wa kunukuu.

Nini maoni yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom