Mfamaji
JF-Expert Member
- Nov 6, 2007
- 6,629
- 1,951
Napenda kupongeza uamuzi wa kupiga marufuka mifuko ya plastic nchini.
Jambo moja linanitatiza. Je katazo hili inasemekana halihusu bidhaa zinazofungashwa kwenye karatasi za plastic. Lakini halijafafanua bidhaa hizo ni zipi. Je juice, soda maji ambazo wafanya biashara hizo huzifunga kwa plastic wrapping zinahusika au hizi ndio zinaruhusiwa kuendelea kuzalisha plastic kwenye mazingira yetu. Nauliza maana vifungashio hivi ni vingi sana na vinahusu makampuni makubwa ya beverages hapa nchini. Ikiwa katazo haliwahusu basi zoezi zima litakuwa na moshkeri. Anayajua please naomba ufafanuzi.