sikuzamwisho
Member
- Apr 12, 2019
- 48
- 185
Nimepata nafasi Kuangalia filamu mpya za mwaka huu Love kills, PIMP na American Satan hakika ule mwisho wa Dunia Umekaribia namna filamu hizo Zinavyopromoti mapenzi ya jinsia moja na ushetani mwingine mwingi tu.
Movie ya American Satan inazungumzia Vijana Waimbaji wa muziki wa rock waliotoka kwao mji mmoja na kwenda Mji mwingine kutafuta mafanikio ya Muziki kwa kuimba baa mpaka walipokutana na Mzee aliyewaambia watoe sadaka kwa kumchoma Mtu kwenye gari watapata mafanikio makubwa kimuziki na kweli walipotoa sadaka na kumchoma Mtu kwenye gari walipata mafanikio makubwa hela ikawa sio issue kubwa Walipotoa nyimbo zilihit na kuwa namba moja kwenye chati mbalimbali lakini Nyimbo Zao zikawa zinaharibu jamii kwa kuimba matusi,kuhamasisha vurugu mpaka kusababisha vifo vya Watu mbalimbali kwenye Matamasha Yao.
Filamu hii American Satan nafananisha na mafanikio ya Vijana flani katika Nchi ya South Korea ambao Naamini Wanaabudu SHETANI kwa njia moja au nyingine maana huwezi kupata mafanikio kwenye ulimwengu huu bila kumwabudu ndio maana nyimbo Zao zinapata kibali sana lakini sharti ni Kuharibu maadili,
kuharibu Watoto na kumpa utukufu shetani je umeshawahi kujiuliza maana ya wimbo Kwangwaru, mhogo nk au Hao Vijana wanapoimba paka mate niteleze Unajua upake wapi na uteleze wapi au Nisafishe mtaro ulivyojaza nyuma fungu mbili angalia hizo nyimbo za Vijana wa south korea zinavyopata kibali katika Nchi nzima hakika
Kuna kundi la Vijana Wanaangamia kwa kukosa maarifa na mbaya zaidi kuyatenda live yanayoimbwa kwenye hizi nyimbo Mungu atusaidie ndio maana Naamini kijana Richi alijitoa kwenye hili kundi sababu alishindwa masharti magumu maana katika ulimwengu wa kawaida Tunaona wanainjoy lakini kumbe wameuza Nafsi Zao kwa shetani.