Habari wadau.
Mh Rais JPM aliagiza wafanyakazi wapewe mafao yao ambapo wanaondoka kwenye ajira kama ilivyokuwa hapo miaka ya nyuma. NSSF wanatoa bila vikwazo. Lakini nashangaa PPF wanazuia mafao ya wanaoyadai. Hela ukatwe wewe mfanyakazi alafu PPF waamue kama kukupa au kutokupa. Hela ya kwao????
Naomba jamani aliye na uwezo wa kumfikishia hili mkulu amfikishie. Tunahangaishwa na hela ni zetu, jasho letu.
Asanteni