Maburungutu anayo gawa Mkulu yanatoka wapi?

Maburungutu anayo gawa Mkulu yanatoka wapi?

washwa washwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
1,613
Reaction score
728
Naona kwenye ziara za Mkulu anagawa maburungutu ya mshiko kila anapoguswa na changamoto anazoambiwa. Hizi pesa zinatoka wapi?
 
Asipotoa mnamuita bahili akitoa ndo hovyo tena...........

Wacha tuone mana mambo ni mengi muda mchache
 
Vipi Na Wewe Unahitaji Mgao Kweli Vyuma Vimekaza Mpaka Unazitolea Mimacho Pesa Za Mkuu Wa Nchi.
 
Huyu ni mkuu wa nchi hela yoote yake kwa niaba ya wananchi. Akiwapa cash wananchi wake kama motisha pale anapoguswa hajafanya vibaya. Na wewe Fanya jambo litakalomgusa mkulu utapata
 
Back
Top Bottom