Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watafiti Wanasema Upo Uwezekano wa Chai ya Moto Kusababisha Kansa ya Koo. Katika utafiti uliochapishwa katika jarida la Cancer Epidemiology watafiti wamegundua kuwa wenyeji huko Magharibi ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ikiwa leo ni siku ya Uhuru wa Habari duniani,Tanzania imeporomoka kwa nafasi 25 katika viwango vya Uhuru wa Habari Duniani hadi nafasi ya 118 kwa mwaka 2019 kutoka 93 mwaka 2018 kati ya nchi 180...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanaitwa ‘MANTIS SHRIMP’ mwenye pigo sawa na nguvu ya risasi Hawa ni moja kati ya viumbe hatari sana wanaopatikana baharini hasa bahari ya Hindi hapa Tanzania Kitalaam wanaitwa “Stamatopoda”...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kila mtu anatamani kilichoko bora hiyo ni kawaida kabisa. Tatizo ni pale unapojikuta hujakipata labda kwa kukosa maarifa au jitihahada. Hapo ndipo hujikuta unaingia dhambini sasa. Chuki...
2 Reactions
0 Replies
733 Views
Habarini wana JF!Je naweza pata wapi tende bora kabisa Tanzania kwa bei ya jumla? Natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Jana tulijulishwa kuwa wafanyakazi wa umma wenye elimu ya darasa la saba wapo 90000 na kidogo je, wenye Phd, masters, degree, diploma, wa cheti wapo wangapi?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimevutiwa na huyu mwanamuziki na mwanasiasa kijana wa hapo kwa dictator museven. hakika huyu ndiyo hasa mtu sahihi atakaye mtoa jamaa. ile kofia yake nyekundu nitaipata wapi hapa bongo? napenda...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
New habari Kunani? Ndugu zangu wale wenye mawasiliano na ndugu Rosatm Aziz tunaomba mmfikishie ujumbe huu.Sisi wana familia ambao ndugu zetu wamekuwa wakifanya kazi katika kampuni hiyo ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanabodi Habari za leo hii, bila ya kuwachosheni ninawaomba ndugu zangu tujadili faida na umuhimu wa nafasi hii yakuwa mubashara kwenye kampuni hii ya mwendazake Reginald Mengi. Ilikunufaisha...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2019 yameanza hii leo jijini Dodoma, yakilenga kujadili masuala mbalimbali yanayohusu uhuru wa vyombo vya habari na wanahabari. Msisitizo...
0 Reactions
2 Replies
648 Views
Askofu shoo ameonekana sana kuguswa na masuala ya siasa kuliko ya dini, Sote tunatambua kwamba kiongozi wa dini ana wajibu wa kukemea maovu yanayoendelea nchini, lakin Shoo asilimia kubwa ya show...
7 Reactions
91 Replies
12K Views
Dunia ipo bize kuwalinda watoto kutokana na abuse ya aina yoyote ile; iwe physical or psychological.. Hawa ni wahanga wakubwa wa mambo mengi ambayo pengine jamii haifahamu au inapuuza tu! Ukipita...
10 Reactions
170 Replies
19K Views
Kwa msiojua hii ni kitengo cha kusajili docs zote za umma kabla hazijaenda kutumika kwenye taasisi yoyote ile - ofisi hii ipo pale Wizara ya Ardhi. Sijui ni leo tu ama kila siku, mtu unakaa masaa...
0 Reactions
1 Replies
625 Views
1. RIPOTI YA TRAFIGURA. Mwaka 2009 website ya Wikileaks ilitoa ripoti kuhusu Kampuni kubwa ya mafuta ya Trafigura, wikileaks walifanikiwa kupata ripoti ya mwanasayansi John Minton iliyokuwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Binolonan ambacho ni Kijiji kinachopatikana kaskazini mwa mji mkuu wa Ufilipino, Manila, kimepiga marufuku kufanya umbea. Meya wa mji, Ramon Guico, amesema umbea ulisababisha ugomvi mkubwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakazi wa vijiji vya Chilala, Makangala, Kinyope, Mchemi na Litipu halmashauri ya Wilaya ya Lindi wameaswa kuacha kutembea nyakati za usiku, hususani katika maeneo ya Usharoba wa wanyama ili...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wananchi wa Kijiji cha Kisongo kilichopo kata ya Lihimalyao wilaya ya Kilwa mkoani Lindi ambao wanapata huduma za afya katika zahanati ya Lihimalyao wamelalamikia kufungwa kwa Zahanati hiyo hali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari, hari ilivyo kwa sasa ni mbaya sana, abiria ni wengi magari machache sana, naona viongozi wamekuwa na matamko mengi ambayo hayajaweza kutatua tatizo, kwa sasa magari mengi ni mabovu na...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu mpo njema!!? Naomba kujua bima ya gari ikiisha muda wake unapewa muda gani kisheria ili ukate bima mpya kabla traffic hawajaanza kusumbua? Ahsanteni sana.
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Nataraji kuwa na safari ya Wiki mbili kwenye Mikoa ya Lindi na Mtwara, naomba kufahamishwa Lodge nzuri isiyozidi gharama ya Tshs 40,000/= pamoja na maeneo ninapoweza kupoza koo huku nikifaidi...
1 Reactions
94 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…