ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,490
- 8,305
Kila mtu anatamani kilichoko bora hiyo ni kawaida kabisa. Tatizo ni pale unapojikuta hujakipata labda kwa kukosa maarifa au jitihahada. Hapo ndipo hujikuta unaingia dhambini sasa. Chuki inakugubika,fadhaa,na hasira hasa ukiona kile ulichotamani kuwa nacho mwingine anacho.unaweza kuhisi umedhulumiwa.
Cha muhimu jipange upya,rekebisha makosa songa mbele. Kumsema vibaya mwenzio haina faida sana,ni kujiongezea maumivu tu.
Cha muhimu jipange upya,rekebisha makosa songa mbele. Kumsema vibaya mwenzio haina faida sana,ni kujiongezea maumivu tu.