Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Pete yenye mnasema karet (sijui kama nimeitamka sawa) 18, na uzito wa gram 2..kiuhalisia mdau wa madini unaweza kuichukua kwa shilingi ngapi. Asanteni.
0 Reactions
3 Replies
908 Views
I would like to take this opportunity to wish the special person to many of us a great Birthday Wish
20 Reactions
54 Replies
4K Views
Habari wakuu,hamjambo ? Naomba niende kwenye hoja yangu Nimekuwa mdau Mkuu Wa elimu kwa miaka mingi sana toka enzi za ulipaji karo hadi elimu bure,nashukuru na kumpongeza rais kwa kujitahidi...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
Kuna baadhi ya tabia huwezi kuzishuhudia zikitokea jamatini au msikitini japo watu na waalikwa ni wale wale. Nyumba yangu ni nyumba ya sala siyo pango la wanasiasa. Mwenye masikio na asikie!
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Hali ya mvua katika Jiji la Dar na mkoa wa Pwani toka jana jioni mvua inanyesha bila ya kukatika. Vipi hali ya mvua hapo ulipo mdau wa JF?
1 Reactions
67 Replies
6K Views
wasalaam, Mada tajwa hapo juu👆👆 Wakuu mimi ni kijana ninayejitahidi kuumiza kichwa sana kuyasaka maisha lakini kwakweli hali ni ngumu, Nimetafuta maisha sana, Wakuu naumia sana kuona vijana...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Kiwanja kinauzwa Dodoma, Mahali panaitwa Msalato, Ni umbali wa km 15 kutoka mjini kati kuelekea barabara ya Arusha. Pia umbali wa mita 300 kutoka barabarani -UKUBWA wake ni 919SQM - BEI Tsh 8M...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mbunge wa Mbozi (CHADEMA), Pascal Haonga ametakiwa kutoripoti tena polisi hadi watakapomuita au akiambia vinginevyo. Akizungumza jana Alhamisi Mei 9, 2019 katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hili shirika la kikristo serikali iwaangalie kwa jicho pevu, ni matapeli, kuna picha za spika wa bunge akijihusisha nao na kuwapa hekari zaidi ya 700 Dodoma, Pia wamekuwa wakimtaja waziri wa...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Afrika inawezekana tajiri akalala tajiri akaamka maskini. na maskini anaweza akalala maskini akaamka tajiri. hayo yote yanawezakana afrika kiurahisi. afrika ni kawaida unakuta mtu anahela nyingi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi ile mvua tunayowagawiaga wakenya walishakuja kuchukua au wanataka tuwapelekee!?Waambieni walipe kodi na wadai risiti tena ya efd's wasilete ujanja ujanja hii ni tz mpya kabisa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamvi, niende kwenye mada. Ikiwa kuna mtu yeyote aliewahi kuishi ujerumani kwa kazi yeyote au bila hata kazi, au kufika tu mnaitajika. kipaumbele ni kwenu.mnaitajika ujerumani kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
1: Mifuko ya Plastiki. Hii ni mara ya Kadhaa. 2: Mateja na wapiga debe. Huyu nakumbuka alikiwa Lowasa. 3: Ombaomba Jijini DSM. Makonda. 4: Mabus ya watoto wa shule kuwa na Mikanda baada ya wale...
0 Reactions
4 Replies
918 Views
Askofu Mkuu wa Kanisa la Agape Wuema Sanctuary Ministry International Tanzania Ltd, Martin Gwila na wenzake leo Alhamisi wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Morogoro...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Hi ni Moja ya Nasaha aliyotuachia Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na ili Kumuenzi kama muasisi wa taifa hili ni vizuri tukazishika nasaha zake Kumekua na Mijadala mingi sana hasa kwenye...
1 Reactions
3 Replies
980 Views
Kwakuwa makampuni ya IPP ni makampuni ya kizalendo basi watanzania hatuna budi kuyapigania ili yasimame yasianguke Na kwa utamaduni wa kitanzania mwenye mali akifariki kampuni nyingi hufa kifo cha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Serikali imekataza mifuko ya plastiki kuanzia tarehe 1 JUNI 2019. Faini au Vifungo vitatolewa kwa atakayezalisha, kuuza au kutumia mifuko hiyo. Achana nayo leo!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jamvi wenzangu na ambao mko kwenye mfungo hongereni na poleni kwa swaum kua kali. Binafsi wakati namaliza shule na kuja jiji la watu yaani Dar kwa mara ya kwanza nilifikia kwa kaka...
8 Reactions
11 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Mtu aliyekuwa akisakwa nchini muda mrefu kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya, Brian Bricket Morgan amekamatwa kwa tuhuma za kuhusika na dawa hizo aina ya heroin...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imezidi kutoa tahadhari ya kuwepo kwa ugonjwa wa homa ya Dengue nchini hususani katika Jiji la Dar Es Salaam na Tanga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…