Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

you know that there are foods you are eating every day that are killing you slowly? Most of us have a number of these foods on our menu, but if you combine all of these, you’ll get a deadly combo...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Marekani imeikamata meli ya Korea Kaskazini ikiilaumu kwa kukiuka vikwazo vya kimataifa. Idara ya haki imesema kuwa meli hiyo ilitumika kusafirisha makaa ya mawe ambayo ndio biashara kubwa ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Najua wajua lakini nakujuza zaidi, Kwenye misiba mizito kama huu wa Dr Mengi waliosafiri kwenda kuzika sio wote wanaguswa sana na msiba huu bali sehemu hizi huwa ni fursa hadhimu kufanya lobbying...
34 Reactions
68 Replies
9K Views
Habari wapendwa naomba kuwasilisha. Kwa miaka ya hivi karibuni elimu yetu imeshuka sana ikilinganishwa na miaka ya tisini na kurudi nyuma.nakumbuka enzi hizo kulikuwa na walimu Wa UPE ambao...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Shughuli ya kuchimba kaburi la kumhifadhi aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni za IPP, Reginald Mengi imeanza leo Jumatatu Mei 6, 2019 kijijini kwake Nkuu, Machame mkoani Kilimanjaro. Kaburi...
8 Reactions
135 Replies
28K Views
Habari? Juzi nilituma pesa kutoka CRDB kwenda Tigopesa ilikuwa ni Tsh. 40,000/= kiasi ambacho makato yake yalikuwa ni 3,500/= cha ajabu pesa hiyo haikufika kwenye namba ya simu husika baada ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Imepita wiki Hadi sasa tokea mweshimiwa Mengi ametutoka,lakini hadi sasa hatuja ambiwa kifo chake kime tokana na nini?kama kuna mwana JF humu anajua,basi atufahamishe.
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Havari wana bodi? Niende kwenye mada moja kwa moja, Amber Rutty aliwekwa ndani kwa video za ngono ambazo hakuhusika kwenye kizisambaza. Swali langu no kuwa kwa nini isiwe hivyo kwa Gwajima kama...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Kupitia ukurasa wake wa instagram, mkuu wa mkoa wa Simiyu Ndg. Antony Mtaka ameandika "Tumehitimisha Safari ya Mpendwa Kiongozi wetu Brigedia Jenerali Dr.Yohana Balele aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Baba Askofu umesema Mengi alirudi kundini kwa kubariki Ndoa yake na Bi Jack mwezi May mwaka 2014.Katika huu mwaka mama Mercy Anna Mengi alikuwa bado yupo hai. Biblia inasema katika kitabu cha...
15 Reactions
194 Replies
18K Views
Hii mvua inayonyesha Dar sasa imezidi. Hizi ni sifa za kijinga. Huko vijijini hainyeshi inatuletea shida hapa mjini. Huwezi kutoka kwena mahala muda wote ni mvua tu. Watu tumekosa hata muda wa...
1 Reactions
57 Replies
6K Views
Hello guys, Naposema kuwa utajiri wa kichawi si mwingi, namaansha nimeona watu wengi wanaosadikika kuwa wamepata utajiri wao kwa njia ya kafara za kichawi, naona pesa zao ni za kawaida, pamoja na...
1 Reactions
15 Replies
8K Views
Sijui niseme hasa Afrika au hasa Tanzania.... Napambana kwelikweli lakini Nikifika kwenye Mil. 20 mpaka 29 naanza kuporomoka. Leo napost huu uzi Huko benki sina hata 100, Natarajia kuvuna Kuku...
33 Reactions
85 Replies
8K Views
Nilie mtaja hapo juu kama bado yupo huku jf namtafuta sana Nina shida nae ya muhimu ya kibiashara Au kama kuna MTU you amjua amjuze please.
0 Reactions
0 Replies
605 Views
Habari Wana Jf, Hongereni na Majukumu ya Siku, Kuna Jambo Nimeona ni Vema nikumbushie, Wengi huwa hatuzingatii, Kipindi hiki cha Mvua ni Vema kupita Barabara Unayoifahamu , Au Ile Unayoitumia Mara...
0 Reactions
3 Replies
673 Views
Jumhuri ni nini? Maana kuna nyakati hutokea taarifa. Mfano inaeleza, Jamhuri yafungua kesi ya kuomba Prof. Director Cosmopolitan kujivua uprofesa. Sasa huyu Jamhuri ni mtu, watu, kikundi cha watu...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Hii si taarifa njema kwa member mwenzetu theAugust, mama yake ametwaliwa jana usiku kutoka maisha haya.... Habari hizi nimezipokea toka kwa manengelo Mama marehemu alipata ajali ya pikipiki...
31 Reactions
162 Replies
55K Views
Kuna wakati huwanafikili hawa jamaa ni wapiga ramli chonganishi: Kimbunga walichokitabiri kwamba kitavuma kwa speeds ya supersonic! hakikuvuma hata chembe yaani tena hali ndo ilikuwa shwari na...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Apumzike kwa amani pale alipojichagulia wakati wa uhai wake
4 Reactions
72 Replies
11K Views
Jana baada ya futari nilikuwa najisikia vibaya joto lilipanda ghafla na baridi Kali likawa linaniandama Asubuhi leo nimeamkia hospitali fulani hivi huku maeneo ya Temeke Dr. kaniambia miongoni...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…