MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,460
- 1,476
Habari Wana Jf, Hongereni na Majukumu ya Siku, Kuna Jambo Nimeona ni Vema nikumbushie, Wengi huwa hatuzingatii, Kipindi hiki cha Mvua ni Vema kupita Barabara Unayoifahamu , Au Ile Unayoitumia Mara kwa Mara, Si Jambo Zuri Kupita Barabara ngeni na Usiyoifahamu. Imebidi nije kuandika hapa kwa Ukumbusho tu, Maana kilichonikuta Leo Mungu ndio anajua na Sitaki Kije kumkuta Mwengine, Nikaonelea Vyema kutoa Tahadhari