isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,562
Jumhuri ni nini? Maana kuna nyakati hutokea taarifa. Mfano inaeleza, Jamhuri yafungua kesi ya kuomba Prof. Director Cosmopolitan kujivua uprofesa.
Sasa huyu Jamhuri ni mtu, watu, kikundi cha watu, wanyama, majabari yani ni nini hasa huyu Jamhuri maana sawahi kumshuhudia.
Kuna yeyote anafahamu anaishi wapi, kazi/ajira yake, jinsi yake, ameoa au ameolewa?
Nisaidie Wakuu