Tanzia: Mama mzazi wa mwanachama mwenzetu August hatunaye tena

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,757
Hii si taarifa njema kwa member mwenzetu theAugust, mama yake ametwaliwa jana usiku kutoka maisha haya.... Habari hizi nimezipokea toka kwa manengelo
Mama marehemu alipata ajali ya pikipiki tarehe moja na kupelekwa hospital mpaka jana mauti yalipomfika....!
theAugust yuko njiani kuelekea msibani.... Pamoja na taarifa hii napenda kumpa pole sana mwanajukwaa mwenzetu kwa kuondokewa na shina lake... Mama yake mzazi, hasa katika kipindi hiki cha taarifa za ghafla kama hizi
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe....
 
Pole sana kwake..R.i.p mama
Hii si taarifa njema kwa member mwenzetu August, mama yake ametwaliwa jana usiku kutoka maisha haya.... Habari hizi nimezipokea toka kwa manengelo
Mama marehemu alipata ajali ya pikipiki tarehe moja na kupelekwa hospital mpaka jana mauti yalipomfika....!
August yuko njiani kuelekea msibani.... Pamoja na taarifa hii napenda kumpa pole sana mwanajukwaa mwenzetu kwa kuondokewa na shina lake... Mama yake mzazi, hasa katika kipindi hiki cha taarifa za ghafla kama hizi
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe....
 
Back
Top Bottom