Picha :Dkt Mengi kuzikwa kando ya kaburi la mwanae, wazazi wake

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,682
22,685
Shughuli ya kuchimba kaburi la kumhifadhi aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni za IPP, Reginald Mengi imeanza leo Jumatatu Mei 6, 2019 kijijini kwake Nkuu, Machame mkoani Kilimanjaro. Kaburi hilo linachimbwa kando ya makaburi ya wazazi wake, mwanae

pic%2Bkaburi.jpeg
 
Back
Top Bottom