Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Je umewahi kuwaza au kujiuliza kua changamoto unazozipitia au ulizonazo na matatizo yanayokukabili yanatoka wapi? Chanzo chake ni nini? Jibu ni hilo liko wazi, ni mpango wa siri kati ya shetani...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Mambo ni mengi muda ni mfupi. Hujamaliza Kuuza Korosho wala kusikiliza ya CAG, Unasikia ya Liverpool kamtoa barca Manara Kuhamia yanga . Mara Nyagali katekwa, Unapofuatilia msiba wa dr mengi...
7 Reactions
24 Replies
4K Views
SERIKALI ya Shirikisho la Ujerumani kupitia Mpango wa Kusaidia Majeshi Ra - ki, imekubali kuongeza kipindi cha kutoa misaada kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa miaka minne...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
[https://debate] | The Matrix | Rhetoric of Reggae Music | Reggae Links | Dread Library Catalog | [https://debate] [https://debate] Rastafari Culture The Extreme Ethiopian Rasta Vs. The...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ama kweli waajiri wana roho mbaya na wanataka wafanyakazi wao wafe maskini Kuna chuo nilikua nafundisha na nikapewa cheo cha uprincipal Ila hiki cheo hakikua na marupurupu yoyote na maamuzi...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Jana nilikuwa natazama taarifa ya habari saa moja usiku kupitia kituo cha luninga cha Channel Ten, nilipata ukakasi baada ya kumsikiliza mtangazaji wa habari za kimataifa akipata taabu kutamka mji...
7 Reactions
37 Replies
4K Views
Mara nyingi watu maarufu wenye ushawishi katika nchi mbalimbali taarifa zao za siri husakwa kwa udi na uvumba. Husakwa na maadui zao, husakwa na mashirika ya kijasusi. Lengo huwa ni kuwaweka...
31 Reactions
56 Replies
9K Views
Nahitaji kusafiri kesho, naomba msaada wa bus zuri from Dar to Babati. Asanteni.
1 Reactions
91 Replies
24K Views
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema ni ngumu kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa homa ya Dengue kwa kuwa mbu wanaoambukiza ugonjwa huo wanauma wakati wa mchana tofauti na mbu wanaoambukiza Malaria...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa mwenye mbwa wa aina taja hapo juu ani PM tufanye biz.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naangalia jinsi vijana waliomaliza digrii, wengine mpaka masters wasivyo na ajira inasikitisha. Mfumo wetu umejengwa kutaka kila anayemaliza elimu ya juu apate ajira. Hata kama atakuwa na akili ya...
0 Reactions
0 Replies
622 Views
sijwasikia social media TV media Wala karimjee kumuaga mpendwa wetu mbona wengine tunajitoa mkipata matatizo .sio poa
12 Reactions
125 Replies
19K Views
Mafuriko Msanii Roza ree
2 Reactions
69 Replies
16K Views
Habari watu wangu wa nguvu baada ya kupigwa ban ya nguvu kabisa sasa nmeludi tena hapa na niwatoe hofu mm ni mzima kabisa naendelea na majukumu yangu kama kawaida natumai mu wazima wa afya Sasa...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Toka walivyoanza "ku-date" Prince Harry na mlimbwende toka USA Meghan Markle, kumekuwa na maneno ya kibaguzi kwa Waingereza na hata baadhi wazungu pande nyingi Duniani ya kutisha na hata wenye...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Hivi karibuni Serikali ilipiga marufuku uzalishaji, uingizaji, usafirishaji nje ya nchi, usambazaji, uuzaji na matumizi ya mifuko aina ya plastiki maarufu kama ‘rambo’ inayotumika kubebea bidhaa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika karne ya 21 kwa tanzania haitokaa itokee msiba kama huu Nyumbani kwetu machame dunia nzima ilikua machame Mamilioni ya raia Maelfu ya magari Nyomii ndo usisemee Misosi sufuria...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Zamani watu walikua wanaamini kua wanijeria ndio matapeli waliokubuhu hapa Africa ila kwa sasa hawafui dafu kwa wakenya. Wanajeria wengi wanatapeli tu watu binafsi mmoja mmoja na hasa wanawake...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Katika kizazi hiki cha nyoka.......wanawake wengi.....ususani wale wenye maendeleo ya kimaisha wamekua wakikutana na changa moto za kutopata wanaume wa kuwoa........ Kwa Maoni yangu naona sababu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nasikitika kituo cha polisi Laela kina utaratibu ambao sio mazuri. Bus zikichelewa kufika kutokea dar usiku kuanzia saa tano na nusu yanalala sehemu ambazo hamna huduma za kijamii. Watu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom