Nakushukuru BABA Askofu kwa majibu yako mazuri,lakini bado nina maswali.

Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
24,140
56,601
Baba Askofu umesema Mengi alirudi kundini kwa kubariki Ndoa yake na Bi Jack mwezi May mwaka 2014.Katika huu mwaka mama Mercy Anna Mengi alikuwa bado yupo hai.
Biblia inasema katika kitabu cha Marko 10:9 Alichokiunganisha Mungu basi Mwanadamu asikitenganishe.
Katika kitabu cha Malaki 2:16a Biblia inasema Nachukia talaka,asema Bwana Mungu wa Israeli.
Any way Ngoja tu niseme maisha ya ukristo ni lazima kufuata misingi ya ukristo.
Asante sana Baba Askofu.
1 Wakorintho 7:11b unasema Mume naye asimpe talaka mkewe.
 
1Wakorintho 7:10 Kwa wale waliooa ninayo amri,tena si yangu ila ni ya Bwana:Mke asiachane na mumewe;lakini kama akiachana naye,basi abaki bila kuolewa;ama la arudiane na mmewe.Mume naye asimpe talaka mkewe.
 
Angelikuwa fukara angeambiwa

Marehemu alikuwa mzinzi hivyo kanisa halijishughulishi na wazinzi
Kabisa yaani,maisha ya ukristo ukifuata biblia inasema usimpe mkeo Talaka.Na kama ukiachana na mkeo basi usioe tena.
 
Huyu Mzee aliacha mke

Huyu Mzee aliowa mke mpya

Sasa sheria ya mke mmoja...mme mmoja ipo wapi?

Niwazi alivunja Taratibu za ukristo. Uzinzi unaoneka 🙈🙈🙈🙈🙈🙊🙊
Kabisa,yaani acha tu.Hawa viongozi wetu hawa.Mungu awafungue macho ya kiroho na wafuate misingi ya ukristo.
 
Baba Askofu umesema Mengi alirudi kundini kwa kubariki Ndoa yake na Bi Jack mwezi May mwaka 2014.Katika huu mwaka mama Mercy Anna Mengi alikuwa bado yupo hai.
Biblia inasema katika kitabu cha Marko 10:9 Alichokiunganisha Mungu basi Mwanadamu asikitenganishe.
Katika kitabu cha Malaki 2:16a Biblia inasema Nachukia talaka,asema Bwana Mungu wa Israeli.
Any way Ngoja tu niseme maisha ya ukristo ni lazima kufuata misingi ya ukristo.
Asante sana Baba Askofu.
1 Wakorintho 7:11b unasema Mume naye asimpe talaka mkewe.
Kwa hiyo ndoa ya kikiristo haijatoa mwanya wa mtu kuachana hata kama anakua abused? Yaani hata kama mtu anapigwa nusu kufa hakuna kuachana?.
 
Ivi bi mdada mbona umekomalia sana hili swala la bi Jackline Mengi ? Natazama post zako upo negative kabisa na huyo Bi Jackline Mengi... au una ugomvi nae ? Maana nahisi unachuki nae huyo dada
 
Sina chuki na mtu yeyote ila nafuata biblia na Yesu ambae ndo msingi wetu wakristo anasema nini.Maisha ya ukristo yanahitaji ujitoe haswa.Kama ukiachana na mmeo ama mkeo basi usioe tena ama urudiane na mmeo ama mkeo.Kifo peke yake ndo kinatakiwa kitenganishe ndoa.
 
Kwa hiyo ndoa ya kikiristo haijatoa mwanya wa mtu kuachana hata kama anakua abused? Yaani hata kama mtu anapigwa nusu kufa hakuna kuachana?.
Ukristo unaruhusu kuishi mbali, sio kuachana.

Yaani hakuna yeyote kati yenu anayeruhusiwa kuoa/kuolewa, hata kama mlifumaniana kwa uzinzi iliyoutaja biblia.

Basi mmoja kati yenu akifariki, ndipo huyu aliyebaki anapata uhalali wa kupanda madhabahuni na mwenza mwingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom