Healthy living mkuuHabari wakuu
Mi sina maneno mengi. Picha inaongea.
Wenye ujuzi zaidi mnaweza kuongezea nyama.
Maisha ndio haya haya. Twende kazi. Tiririka.
View attachment 1094382
Bila kusahau genes,asije akawa ukoo wa Mugabe na mwinyi.Pengine kuna vitu zaidi ya life staili kama magonjwa na Umaskini uliokithiri..